Wanaume ndo tulivyo??


Kwa hiyo kwako hicho ndio kiwango cha juu cha kufikiri cha wanyama unachokifananisha na cha binadamu?

Unaposema 'wanyama hawaoi, wanajamiiana kwa kuendeleza kizazi.." Mbona hata kwa binadamu hii imekua ni kawaida siku hizi? Watu wangapi unaowafahamu wewe wameamua kuzaa tu na hawajaoana? Kwani binadamu ukitaka kuzaa lazima uwe kwenye ndoa?

Nnachomaanisha hapa ni hiki, mfumo wa mahusiano kati ya dume na jike wa binadamu na mfumo wa mahusiano wa wanyama wengine uko tofauti sana.

Hiyo definition yako ya umalaya ni very offensive kwa ndugu zangu waislamu, usishangae kukiwa na maanndano makubwa sana siku ya ijumaa baada ya swala!!

Naomba nirekebishe

Malaya=Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu zaidi ya mmoja nje ya ndoa.

Naomba unijibu hili swali

Hadi kufikia hatua hii ya kufananisha wanume wanyama na binadamu, lengo ni kuhalalisha wanaume kuwa na mahusiano na wanawake wengi au kuna kitu kingine? Thanks
 
Hadi kufikia hatua hii ya kufananisha wanume wanyama na binadamu, lengo ni kuhalalisha wanaume kuwa na mahusiano na wanawake wengi au kuna kitu kingine? Thanks

Nimekua najiuliza maswali mengi kuhusu sisi wanaume bila kupata majibu, najiiuliza ni kwanini wanaume tunapenda kuwa na multiple partners lakini hatupendi wenzetu wanawake wawe hivyo? katika baadhi ya jamii au dini ni ruksa mwanaume kuoa zaidi ya wake wawili lakini the opposite ikitokea ni kesi au dhambi kubwa. Wanawake wanawezaje kuvumilia kuolewa wengi na mwanaume mmoja wakati sisi wanaume hatuwezi? Tukijuana kuwa tunashare tunapigana au tunasusa wakati wenzetu wanakaa chini na kusukana huku wakicheka? Baada ya kuangalia hizi programs za wanyama nikaona jinsi madume yanavyo behave kwenye mahusiano, nikahisi labda its something beyond our control, something within that we cant change..
 

Mimi nadhani tungetumia hiyo logik kuona jinsi gani wanawake waumia na huo mfumo na badala yake wanaume tukajikita zaidi kwenye kudumisha mahusiano ya mke mmoja.

Kama wanaume wanavyoumia kuchangia mwanamke nadhani hali kadhalika wanawake inawaumiza vilevile sema hawana jinsi tu.

Nimekuelewa hoja yako mkuu, niwie radhi kama nilikukwaza kwa kutaka kujua kiini cha hii maada kilikua ni nini. Thanks
 
Kama wanaume wanavyoumia kuchangia mwanamke nadhani hali kadhalika wanawake inawaumiza vilevile sema hawana jinsi tu.

Nimekuelewa hoja yako mkuu, niwie radhi kama nilikukwaza kwa kutaka kujua kiini cha hii maada kilikua ni nini. Thanks

Usikonde mkuu, huu ni mjadala tu na sitegemei yoyote akwazike humu- ningekua sitaki kuskia mawazo tofauti nisingepost huu mjadala hapa....

Tukirudi kwenye mada, mbona naskia kule bondeni kuna watoto wanatoka familia bora tu lakini wanalilia kwenda kuolewa na King Muswati? Na hivi kwa mfano pale angekwepo Queen Muswati awe anachukua vivulana na kuviweka ndani unadhani wangejitokeza kama wanawake?
 
Nguvu za kiume za kumuhimili mwanamke mmoja tu zinawasumbua, ije kuwa wanawake 12? Mnaishia kutamani tu wala sio bio make up, halafu hao wanyama do they sex for love or reproduction? Maana hata nao wangekuwa wanado daily, wangeopt kuwa na mpenzi mmoja!

Do you know lemurs? Wao, mwanamke ni dominant sio wanyama nao?
 
yaani mwanaume hata akimuona ex wake na njemba nyingine inakuwa tatizo. Kwa kweli kwa upande wangu bado nasisitiza mume mmoja mke mmoja.

Ila tatizo hii kitu imepenye sana kwenye jamii yetu hadi wanawake wanaona ni sawa mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja au kutoka nje.

Nadhani watumie vyama vya kudai haki zao kuona uwezekano wa wao nao kuolewa na zaidi ya mme mmoja (Joke)
 

Nimewahi kwenda kijiji kimoja nikakuta mzee mmoja mganga wa kienjyeji ana wake watano, nyumba zake zote tano kazijenga karibu karibu halafu kazungushia fence ya miba. Anafanya weekly rotation ya wapi pa kuishi humohumo ndani kwenye empire yake. Wanawake wanaenda kusaka kuni, mtoni kuteka maji, mashambani pamoja and they are all happy! Sasa kwa utaratibu huo hata wangekua 12 angewamudu tu, sema ndo ukipewa dozi yako ya wiki ikiisha ujue mgao utakurudia baada ya wiki 11!! (Ngoma inaweza kuota ukungu hakyanani!)
 
Unafikiri hasaidiwi?
Kibondo kuna mganga ambaye kwa idadi ya watoto UNHCR walimjengea shule. Lkn watoto wakubwa wanawaDO mama zao wadogo.
Kiphysiologia kwa vile sex kwa binadamu haifanywi kwa reproduction peke yake, hamuwezi kuhimili wanawake hata 2 wakiamua nao kutii kiu zao!
 
Aah wee nani anataka kugusa mali ya kalumanzila, mara unashangaa hogo limetoweka ghafla, mi sithubutu bana!

Sasa hao wanawake wa kijijini wana kiu gani? kwanza usikute wote wamekeketwa mtumbua ushakufa ganzi kitamboo! Juu ya hapo anaweza kuwa keshapigwa watoto wake saba ukichanganya na shuruba za mchana- mara shamba, sijui kuchanja kuni, kupika, etc ikifika jioni yuko hoi, libabu likija linamrukia tu dakika 2 bao chwaaaa anasukuma huko, hakuna cha foreplay wala nini! Hiyo kiu mwanamke ataitoa wapi? Siku asipoguswa naona anashukuru. Kiu mwapata nyie ma pen pushers na dezaini zenu hamkubaligi kuingia huko kwenye kubanana.
 


Unanichekesha. Kama wewe ni mkristu basi badili dini uwe unajipigia mademu kiulaini kwa kuwa muislam. Si kama nawatukana waislam, lahasha...wale wenzetu ni kama wamehalalisha hii kitu. Yaani jibaba unaoa kwa saa moja kisha ukishajipigia unaacha demu kiulaini na kwenda kwingine kuoa kwa nusu saa.
 

Mi simo bana ukisababisha maandamano au makao makuu ya JF kupigwa bomu! Kwahiyo mkulu wewe unataka kusema dini ndo inakuzuia usile vichwa? Wengine hatuna dini kabisa sasa..
 
kwa hiyo nyie wanaume ni sawa na wanyama pori?kweli unafananisha tabia ya mnyama na yako?makubwa ila kwa simba ukimwi hakunaga ujue!
 
Mi simo bana ukisababisha maandamano au makao makuu ya JF kupigwa bomu! Kwahiyo mkulu wewe unataka kusema dini ndo inakuzuia usile vichwa? Wengine hatuna dini kabisa sasa..


Dini inanizuia kula vichwa japo natamani na nyeto sipendi......hivyo nabaki kujiuliza sijuwi nibadilishe dini au?
 
Mi sina dini bana manake ukichunguza utagundua kuwa dini zinakataza vitu vyote vitamu vitamu tu! Tungi huruhusiwi, mademu nao unakatazwa, khaa sasa sijui wanataka ukae sitting room ukune manyanya na makalio yako tu?:becky:
 
Yaani ni kweli kabisa ulichosema hapo kwenye red. Sex isingekuwa ni starehe, wanawake wengi wa zamani wangekufa njaa, wangeteseka sana.
 
Nakumbuka wakati nasoma chuo saikolojia kuna kitabu kuna kipande kimeandikwa ''a man has to conquer as many women as he can''
 
Mkuu Kana-Ka-Nsungu binadamu kama jamii ya wanyama kuna similarities nyingi sana ikiwemo hiyo ya kutaka kujirusha huku na kule katika idara ya mapenzi. Dini na ustaarabu ndio imefanya mambo ya kujirusha huku na kule kwenye mapenzi ionekane ni dhambi na mhusika kuonekana malaya katika jamii yake.

Hivi sasa kumeibuka kundi la binadamu, wake kwa waume, katika nchi mbali mbali ambao hili la kuwemo kwenye ndoa na mtu mmoja kwa miaka chungu nzima hawakubaliani nalo kabisa. Hawa ndio wanazipigia debe ndoa za mikataba ya muda maalum au open marriage ili kuendelea kujirusha bila kuonekana kwamba wanatenda dhambi.

Mie nadhani kwamba hizi ndoa ambazo tunazifahamu kipindi hiki, mke mmoja na mume mmoja, zitazidi kupungua sana katika vizazi vijavyo sehemu nyingi duniani ili watu wandelee kuwa huru katika idara ya mapenzi au hizi ndoa za mikataba ya muda maalum na pia open marriage zitashamiri sana katika miaka ya usoni.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…