Wanaume nasi tuna mizengwe!

Nadhani jamaa alikuwa ana lake jambo, ili pakuanzia ndio ilikuwa issue..................... si unajua kuna wakati hesabu zinakataa, hasa pale unapokuwa na ki-date na iron lady................!
 
Kwanza sio suala la Wanaume kwa ujumla,ni suala la huyo huyo,watu wana tabia tofauti,kwani huyo ni mwanaume wa kwanza kwa huyo binti mpaka awageneralazi wote?Amkague wa nyuma aone kama alikua hivyo.Pili hiyo ilikua outing,inawezekana jamaa alimkonsida kama rafiki wa kawaida mdada mwenyewe akajiresi kuwa jamaa anamtokea,kwani outing ni lazima uwe na unaemfukuzia?
 
shortly, ukiwa kwenye conversation na mtu yeyote stay focused to him/her. hata ktk business conversation, therefore tujifunze.
 
Watu akili hazifanani mjue. Jamaa utakuta wala hajui kuwa anafanya makosa.
Kuna watu huwa wanatabia za kimbwiga mbwiga kwenye dating kama ya huyo na kuzidi huyo.
 
Hapo mbona hakuna ubaya wowote!!!!!
labda kama huyo dada anataka wawe na mahusiano ni gf na bf other wise ni poa coz yeye mwenyewe anasema date ilikuwa nzuri so jamaa kuwa bize haina tatizo lolote. nahisi huyo dada alifikiri labda watakapokua out labda jamaa ataleta mada nyingine.
km dada anampenda jamaa basi amwambie
 
kuzima nayo inaleta tafsiri mbaya ila usiwe busy sana na simu. Inakera sana.

You are wright kuzima kunaweza kukazua balaa lingine such as '' unaogopa ma gf wako wasikupate/wasikusumbue''
wacha cm on kwa mambo muhimu tu
 
Lol! Si bora alikua busy na simu,kuna mwingine nusu ya muda anaongelea ex wake,robo anajiongelea mafanikio yake na hiyo robo iliyobaki nusu yake anaongelea chadema na nusu unakua unachomekea vicheko! Kazi!

Hiyo ni kali zaidi. Hana hata muda wa kukusikiliza!
 
Watu akili hazifanani mjue. Jamaa utakuta wala hajui kuwa anafanya makosa.
Kuna watu huwa wanatabia za kimbwiga mbwiga kwenye dating kama ya huyo na kuzidi huyo.

​Ndo uzuri wa kuwa na jamvi kama hili ili watu tujadiliane na kusaidiana kwenye issues kama hizi.
 
Back
Top Bottom