Katika mapenzi
Kila mtu anapendwa kuhongwa na Mpenzi wake haijalishi ni Mwanaume au Mwanamke,
Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba wahongaji wakike ni wachache kuliko wanaume,
Ukipata mwanamke anayekupa hela, mwanaume huwanga tunafulahi sana, tunapopewa hela na wapenzi wetu wa kike.
"SIYO WANAWAKE TU WANAOPENDA KUHONGWA"
taratibu za kabila letu ni fedheha na dharu kubwa kwa mwanaume kuhongwa na mwanamke hasa kama hujui kuwa hicho anachokuhonga amekipataje.
Mwanamke mwenye kazi halali kama mwanaume una tatizo hakuna ubaya akikusaidia na natumaini hii haiwezi kuwa request ya mara kwa mara. Na hii si kuhongwa hii inaitwa hook up.
Nalisema hili kwa uzoefu wangu kwa sisi ambao tumejiajiri hatutegemei mwisho wa mwezi kuna wakati pesa nyingi zinakuwa nje na kuzikusanya kalenda nyingi tu na dawa ya mbu.
Ha ha aaaaa acha tu maisha haya!!!!!
Sasa ukiwa na "mwanamke" hapa unakuwa na amani, ila kama umeoa "demu" dunia inakaa utosini
Ukipata mwanamke anayekupa hela, mwanaume huwanga tunafulahi sana, tunapopewa hela na wapenzi wetu wa kike.
Naliza shi nang'ho!.Nzokooooo.......
Naliza shi nang'ho!.