Wanaume na WOWOWO!!

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,975
Wakuu,


Kawaida wanaume wengi tuko flat sana.Ila siku hizi vijana wa kiume walio wengi ukiangalia nyuma wamejazia ile mbaya.Tatizo ni nini?Uvaaji au ulaji?Kindly help,am dead of clarification.
 
Mimi naona vijana wa siku hizi style za Cabbo Snoop.

Ila wacheza mpira wengi ulaya wamejaza nyuma sijui why!
 
Wakuu,


Kawaida wanaume wengi tuko flat sana.Ila siku hizi vijana wa kiume walio wengi ukiangalia nyuma wamejazia ile mbaya.Tatizo ni nini?Uvaaji au ulaji?Kindly help,am dead of clarification.[/QUOT

Mh!
 

kuna ukweli hapa!
 
mmmmh bana hayo maumbile tuu na wanawake flat mtawasemaje hebu achen kumkosoa mungu hapa
 
EEeeeeh bhana eeeeeeh umeshaanza kutamani wanaume wenzako..... Aaaaaiseeeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…