Sijui ni kwa nini.Hv kwanini wanaume wanapenda wanawake walio wazid urefu au umri?
Opposite is true..... thats why hata Tom Cruise alivyokuwa na Nicole Kidman ilibidi awe anavaa viatu virefu ili asionekane mfupi sana kwa mke wake... Most Men dont like to be looked down by women... thats why angalia viatu wanavyovaa kina Al Pacino na Danny Devito ili tu kuongeza kimo chao "UNLESS U MEAN UREFU AMBAO MIMI SIUJUI"Hv kwanini wanaume wanapenda wanawake walio wazid urefu
Opposite is true..... thats why hata Tom Cruise alivyokuwa na Nicole Kidman ilibidi awe anavaa viatu virefu ili asionekane mfupi sana kwa mke wake... Most Men dont like to be looked down by women... thats why angalia viatu wanavyovaa kina Al Pacino na Danny Devito ili tu kuongeza kimo chao "UNLESS U MEAN UREFU AMBAO MIMI SIUJUI"
statistically wanaume wengi ni warefu kuliko wanawake apart from baadhi ya makabila ambao wote ni warefu mfano Rwanda etc. lakini majority men are taller than women.... , obviously partners wengi wake zao watakuwa ni wafupi kuliko wanawake...unakuta wanaume weng ni warefu kuliko wanawake wao je ni nn haswa kinasababsha hcho ki2
Opposite is true..... thats why hata Tom Cruise alivyokuwa na Nicole Kidman ilibidi awe anavaa viatu virefu ili asionekane mfupi sana kwa mke wake... Most Men dont like to be looked down by women... thats why angalia viatu wanavyovaa kina Al Pacino na Danny Devito ili tu kuongeza kimo chao "UNLESS U MEAN UREFU AMBAO MIMI SIUJUI"
unajua mm ni mrefu ila cjajua mana kila ninaempata ni mfup kwangu so inakuwa vgumu kujua mana ninajitahd sana kuweza kutafuta mschana mrefu so sorry wahapahapa
unajua mm ni mrefu ila cjajua mana kila ninaempata ni mfup kwangu so inakuwa vgumu kujua mana ninajitahd sana kuweza kutafuta mschana mrefu so sorry wahapahapa