Wanaume na vijitabia vyao

Wanaume na vijitabia vyao

Naona umejiokotea jamaa linaloliwa nyama za makalio wote unawaona wako hivyo babako umemuweka kundi gani hapo?
 
Kusudi la kwanza la Mungu kumuumba mwanaume halikuwa ILI AMUOE MWANAMKE. Cha kujiweka mbele mbele kama barua ya ajira kwa manufaa gani kwa sisi tuliopita balehe kitambo?

Nyie anzeni mwaka mnajadili VIBAMIA. Mwanamke wa kuoa ni yule atayeanzisha bustani ya mabamia sio mjadili vibamia.
 
1.Ubahili: Nani anataka pesa zake ziwe za kufujwa?

2.Gubu: Hii ni tafasiri potofu, hakuna mwanaume anapenda vitu viharibike nyumani kwake, hakikisha nyumba safi,watoto wanalishwa,wasafi,chakula hakiharibiki(wanawake wengi wanatupa vyakula) Muongoze dada wa kazi jinsi ya kusaidia kazi. macho yake yanaona zaidi kwani ni number moja.

3.Uchoyo: Hii ni dhana potofu, Kwa mjini kila kitu ni pesa, wakija wageni kumi ndani ya wiki moja wote ukawapikia, inaamaana itabidi budget iongezeke na mshara wake haujaongezeka, yeye anatapata maumuvu kwani ndiye mtafutaji mkuu. Kijiji nako kumebadilika hali ya hewa sio nzuri sana sehemu nyingi hivyo mavuno machache na wanatumia hayo mavuno kusomesha watoto wao, na maendeleo mengine hivyo standard ya maisha yao imepanda na wanahitaji pesa zaidi kuliko mwanzao.

Kwa sasa lazima watu wote wabadlike, Hali ya maisha imebadilika, zaa watoto wachache, tumia pesa yako kwa matumizi ya muhimu kama wenzetu wa nchi zilizoendelea, hio itapendeza zaidi.
Yaani wao huwa wanahisi wana onewaga...wakati asahivi maisha yenyewe yamebadilika...wakina Dada muwe mnajaribu kusoma alama za nyakati...
 
Mbona wegi tu wanajenga ukweni na kusomesha mashemeji
 
Back
Top Bottom