Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Najua Umenielewa
Najua Umenielewa
Hata mume hana huyo. Kwa hiyo negative mind towards men hawezi kupata mumeHizo ni tabia za mume wako jitahidi tu kumrekebisha. Sisi hatuko hivyo
Mwanaume ni yule akitoka kutafuta hurudi kujiandaa kwa ajili ya kwenda kutafuta kesho tena..sasa hyo anaekuja kukaa na wewe jikoni hyo sio mwanaume bali ni mwenzako!Wanaume wapo wengi Sana wa hivyooo
Kwanza anaonekana ni mchoyo sanaHata mume hana huyo. Kwa hiyo negative mind towards men hawezi kupata mume
Na anaonekana alikuwa na ndoa ila yakamshinda sasa anajaribu kushawishi wenzie ili wawe wengiKwanza anaonekana ni mchoyo sana
Tumefanyaje tena? Unataka tuwe wa blue ndiyo ujue tumebadilikaWanaume jaman badilikeni
ExactlyNa anaonekana alikuwa na ndoa ila yakamshinda sasa anajaribu kushawishi wenzie ili wawe wengi
We nae umegandana na huyo mbebez wako utafikiri alitumia laini yako ya tiGo.Ukute sasa ana cha le mbebez lazima uione ndoa chungu
Ukute sasa ana cha le mbebez lazima uione ndoa chungu
alafu bado mboga akuhesabie

Dada demiss wanaume walikufanya nn mbona ikija mada ya kuwasema me ww unashadadiaWanaume wapo wengi Sana wa hivyooo
hiyo ya nne ndio yangu,nikileta nyama naikatakata nahesabu finyango naweka kwenye vimfuko,kilo mbili zinaweza kukaa hata mwezi maana nyama nakata kama vijimiskaki viduchuviduchuDada usione mwanaume kavaa suruali mkanda kachomekea nadhifu ana vichenji vikakuzuzua mchunguze kiundani kabla ya kuolewa nae .
Zijue Tabia zao zisizopendeza na kama zipo unazozijua ongezea hapa.
*wabahili hawa akishakuoa anachojua kukuhudumia chakula tu wengine wanafika mbali wanakuweka kama pambo hatahuduma hakupi
*Gubu.huyu akianza kusema haeshi siku nzima anasemaa tu akitoka ndio unapumzika.
*kuhesabu vitoweo.Mara nyingi huyu anakupangia mboga iwe siku tatu tatu hata wakija wageni utajijua mwenyewe.
*wachoyo.hapendi ndugu zako mwanamke wake au usaidie kwenu
Yaan unafungasha viragoo![]()
![]()
![]()
![]()
alafu bado mboga akuhesabie
![]()
![]()
![]()
Kuna mwanaume alichonifanyia kamwe kisasi changu Kwa wanaume hakitaishaDada demiss wanaume walikufanya nn mbona ikija mada ya kuwasema me ww unashadadia
Hata ukimtengea tigo hakipitiiWe nae umegandana na huyo mbebez wako utafikiri alitumia laini yako ya tiGo.
AhahahhahahahahKuna mwanaume alichonifanyia kamwe kisasi changu Kwa wanaume hakitaisha
Njoo pm uniambie alicho kufanya nisije kurudia kosa lol.Kuna mwanaume alichonifanyia kamwe kisasi changu Kwa wanaume hakitaisha