Wanaume na vijitabia vyao

Wanaume na vijitabia vyao

Sweety zai

Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
7
Reaction score
10
Dada usione mwanaume kavaa suruali mkanda kachomekea nadhifu ana vichenji vikakuzuzua mchunguze kiundani kabla ya kuolewa nae .

Zijue Tabia zao zisizopendeza na kama zipo unazozijua ongezea hapa.

*wabahili hawa akishakuoa anachojua kukuhudumia chakula tu wengine wanafika mbali wanakuweka kama pambo hatahuduma hakupi

*Gubu.huyu akianza kusema haeshi siku nzima anasemaa tu akitoka ndio unapumzika.

*kuhesabu vitoweo.Mara nyingi huyu anakupangia mboga iwe siku tatu tatu hata wakija wageni utajijua mwenyewe.

*wachoyo.hapendi ndugu zako mwanamke wake au usaidie kwenu
 
Sijui umeyatoa wapi haya maneno ya kipuuzi hivi!
 
Wakati Wa giza macho ya mwanadamu huwa ni ngumu kutofautisha vitu. Yaaan vitu vyote ,rangi zote machoni kwake huonekana Sawa tu .
Sasa kujua hiki nihiki nakile nikile kuna mawili
usubiri kupambazuke ndo ujue oohhh kumbe hili nijiwe.
au kutumia tochi lkn hapa ( unapaswa macho naakili viwe makini zaidi ,maana utamulika Chui machoni natochi yako naww utazani ni Paka).

Kikubwa niwatu kua makini nakuchukua tahadhar pindi giza lianzapo kuchukua nafasi ktk mboni za macho yetu [HASHTAG]#KAMA[/HASHTAG] ULIVYOSEMA#
 
Back
Top Bottom