habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,755
Jitahidini kukwangua mavuzi ya sirini na ya kwapani,,,,
bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki
Ni ombi tu
Jitahidini kukwangua mavuzi ya sirini na ya kwapani,,,,
bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki
Ni ombi tu
duh ya leo kali asante kwa kunikumbusha kama vile umeniona....teh teh tehJitahidini kukwangua mavuzi ya sirini na ya kwapani,,,,
bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki
Ni ombi tu
Ombi laweza kukubaliwa au kukataliwa.............
ila bora umewaambia I hope watajirekebisha wanapoweza
kweli mkuu...hizi ni zama za free style kama vip watuchunie!Watu wako busy na life bwana!
muda wa kukujikata hakuna,kwani inazuia nini?
Nadhani tatizo lipo kwako.Jitahidini kukwangua mavuzi ya sirini na ya kwapani,,,,
bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki
Ni ombi tu
Ombi laweza kukubaliwa au kukataliwa.............
ila bora umewaambia I hope watajirekebisha wanapoweza
a) Dah ushukuriwe! umetutangazia tupumzike kubadilisha toka kila siku hadi mara nne kwa wiki?
b) Na kwenye kwapa pia kumbe ni mazivu?
Honey usisahau kuninyowa eeh
Living in Antarctica even if it means 10 years for u then am more than ready...