Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada

Yani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
We unajuaje kama ni wote..Yani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
Asubiri nini kwani kunanii kunataka muda?Yani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue