Wanaume muwe mnajiongeza basi

wanawake wanaopenda hela kama makalio na bikini wapewe,,,,,,ila kuolewa wakaolewe na rafiki wa kinjekitile au waganga wa tiba asili,,,,vijana smart wanaotafuta life zuri huwezi honga kibwege,,,,,,BAHILI WA SASA NI TAJIRI WA BAADAE
 
njoo nikupe hela basi
 
Nicheki PM..mie ugonjwa wangu ni kuhonga, ila uwe na paja jeupeeeeeeeeeee
 
Inaonesha ushakopwa sana, ila pole buni mbinu au waone ma kungwi wakuongezee maujuzi
 
Wanawake wengi siku hizi ni WALEMAVU. Wanataka kupewa hela tu, hata kama gogo.
 
Huwezi kupewa bila Kuomba kwa kifupi huwezi kupata unachotaja bila kutambua njia ya kukipata!
 
K
Kwani unamuuzia au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…