Mimi mtu kama hanihudumii kwa chochote huwa namwambia hata nikipendeza ni marufuku kunisifia .....hawezi kusifia wakati hajui gharama yakeNa lazima watoe povu wao wanataka kuona mwanamke kapendeza hawajui kapendeza vipi hata mia hatoi
Mimi mtu kama hanihudumii kwa chochote huwa namwambia hata nikipendeza ni marufuku kunisifia .....hawezi kusifia wakati hajui gharama yake
Sio kila mtu ana mizinga.....tupo ambao hata miez mitano unakaa hatujaomba hata thumni.....ila tunahitaji mjiongeze wenyeweVizinga vimezidi jitahidini kupunguza hata kidogo maana kuacha hamuwezi
These are primitives ideas. Thus why mnabaki kuwa chombo Cha starehe pindi mwanamme anapokuwa na pesa.Mwanamke hata kama anakazi,wajibu ni wa mwanaume kumtunza
Pole sana tafuta kwako...tatizo mmejaa matamaa ya hovyo...Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe
Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie
Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu
Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi
Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe
Jiongezeni basi
Mwanaume anayejua wajibu wake kwa mke au mpenzi wake ni wajibu wake kumpa hela za matumizi sio mpaka aombwe
Umependeza mkuuMimi mtu kama hanihudumii kwa chochote huwa namwambia hata nikipendeza ni marufuku kunisifia .....hawezi kusifia wakati hajui gharama yake
Kwaiyo hadi kumwambia mtu umependeza inabidi tuanze kulipiaNakazia
Kwaiyo hadi kumwambia mtu umependeza inabidi tuanze kulipia
Kweli kabisa. Wanawake wa zamani walikua hawana gharama kivileInamaana tukiwapa hela ndio tunapata na zakujengea au.
Wanawake wa zamani walikua hawaombi ombi hela, wa sasa mnaomba sana pesa ndomana hatujengi tunaishia kupanga.