Yaani tokea nimeamia hapa nilipo, kuna mkaka mmoja bachela, yaani wanawake wote hapa wameolewa, lakini wanamtegemea yeye[emoji3064], sijui waume zao wana majukumu gani. Umeme ukiisha wanamtazama yeye tu[emoji34], taa za korido na toilet zikiungua ni yeye tu, gharama za usafi na michango ni yeye tu[emoji26]
Hajui kukataa hata, upole umezidi, hadi huruma jamani[emoji24][emoji24] yeye anatabasamu tu anajibu haina shida[emoji849]
Mnapitia mengi japokuwa hatuioni thamani yenu, Mungu awasaidie katika utafutaji wenu[emoji120][emoji120]
Wewe sii ulishaambjwa hela ya mwanaume haiendi bure....tulia tuu hao wake za watu wataliwa vizuri tuuYaani tokea nimeamia hapa nilipo, kuna mkaka mmoja bachela, yaani wanawake wote hapa wameolewa, lakini wanamtegemea yeye[emoji3064], sijui waume zao wana majukumu gani. Umeme ukiisha wanamtazama yeye tu[emoji34], taa za korido na toilet zikiungua ni yeye tu, gharama za usafi na michango ni yeye tu[emoji26]
Hajui kukataa hata, upole umezidi, hadi huruma jamani[emoji24][emoji24] yeye anatabasamu tu anajibu haina shida[emoji849]
Mnapitia mengi japokuwa hatuioni thamani yenu, Mungu awasaidie katika utafutaji wenu[emoji120][emoji120]
Mkuu mbona unacheka au..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja waje.
Yaani tokea nimeamia hapa nilipo, kuna mkaka mmoja bachela, yaani wanawake wote hapa wameolewa, lakini wanamtegemea yeye[emoji3064], sijui waume zao wana majukumu gani. Umeme ukiisha wanamtazama yeye tu[emoji34], taa za korido na toilet zikiungua ni yeye tu, gharama za usafi na michango ni yeye tu[emoji26]
Hajui kukataa hata, upole umezidi, hadi huruma jamani[emoji24][emoji24] yeye anatabasamu tu anajibu haina shida[emoji849]
Mnapitia mengi japokuwa hatuioni thamani yenu, Mungu awasaidie katika utafutaji wenu[emoji120][emoji120]
Naapriciate mchango wa yeyote anayejielewa bila kujali jinsia yake.Mkuu mbona unacheka au..
Au appreciate michango yetu kwenye jamii ?