Nilichogundua kwenye umri wangu ni kwamba, wanaume hatutakiwi kupanga kuoa, inatakiwa uoe pale unapokutana na mwenza anayekufaa usipokutana naye acha usioe,. Mke ni mzigo na ni tatizo
Kwa dunia ya leo iliyojaa ujinga wa mabepari kuliko kushangilia ukipata mtoto wa kiume unapaswa umuombe Mungu hasa aje kuwa mwanaume kweli.
Kuna mzee kajihini kupeleka mwanae wa kiume kusoma ubelgiji. Amerudi na dume la kizungu kuwa ndio boyfriend wake. Kitako anakibinua na kuongea kama demu huku kavaa viguo vya kubana. Mzee anabaki kusikitika tu.