Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,574
inategemea unamuoa nani, we unaoa slay queen unategemea niniTatizo linaanza ukikubali kuoa...
Ndoa is not for everyoneinategemea unamuoa nani, we unaoa slay queen unategemea nini
Ndoa ni kwa kila mtu ikiwa tu kila mtu atacheza nafasi yake kikamilifu nainayotakiwa.Ndoa is not for everyone
Hapo ndo tatizo linapoanziandoa ni kwa kila mtu ikiwa tu kila mtu atacheza nafasi yake kikamilifu nainayotakiwa
sjakuelewa please come againHapo ndo tatizo linapoanzia
Tunapenda kukopiana maisha wakati kila mtu alizaliwa na swali Lake
Ndoa is not for everyone.
Daah mzee acha tuTatizo linaanza ukikubali kuoa...
Konde Gang ndio For everybodyNdoa is not for everyone
Watu tunapenda kukopiana kwenye kila kitusjakuelewa please come again
Bila kusahau food,air and water[emoji3]Konde Gang ndio For everybody
umeongea vyema kabisaWatu tunapenda kukopiana kwenye kila kitu
Huyu Akioa na mm nioe..na jamii imekariri hivo wakati sio kila mtu anaweza kuwa kwenye ndoa...
Wapo wanaume waliofanywa matowashi toka tumboni mwa Mama zao ,wapo walijifanya matowashi wenyewe na wapo waliofanywa matowashi na Watu wenginendoa ni kwa kila mtu ikiwa tu kila mtu atacheza nafasi yake kikamilifu nainayotakiwa
kila jambo linawezekana watu wakiamuaWapo wanaume waliofanywa matowashi toka tumboni mwa Mama zao ,wapo walijifanya matowashi wenyewe na wapo waliofanywa matowashi na Watu wengine
Ndoa sio ya kila mtu
Kwahiyo mkuu tusioe???Tatizo linaanza ukikubali kuoa...
Nashukuru umenielewaumeongea vyema kabisa
π΅Kwa dunia ya leo iliyojaa ujinga wa mabepari kuliko kushangilia ukipata mtoto wa kiume unapaswa umuombe Mungu hasa aje kuwa mwanaume kweli.
Kuna mzee kajihini kupeleka mwanae wa kiume kusoma ubelgiji. Amerudi na dume la kizungu kuwa ndio boyfriend wake. Kitako anakibinua na kuongea kama demu huku kavaa viguo vya kubana. Mzee anabaki kusikitika tu.
Well saidNdoa ni kwa kila mtu ikiwa tu kila mtu atacheza nafasi yake kikamilifu nainayotakiwa.