Wanaume Mungu anatuona katika hili

Wanaume Mungu anatuona katika hili

Unakuta umeingia na mrembo ndani bila kumpanga kama unataka penzi matokeo yake unamshikashika alafu askari kichwa anasimama..mtoto wa watu anakuambia hayupo tayari kusex.. unaanza kujifanya unaweka sura ya huruma huku unajifanya unaumia kutokana na mashine kusimama..tena mpaka machoz yanakulenga eti maumivu yamezidi dushe linauma..maskini madada kwakua hawajui anajikuta anakupa ili usiendelee kuumia..anajikuta analiwa wakati ni wizi mtupu,,
Hahahaha
 
Mimi pia siku hizi siendi kule lindoni..

Usijali bana, vipi mzima lakini?
mzima kabisa, naona lindo limekuwa gumu kwangu kuhudhuria...naamini walinzi wenzangu wako salama
 
mzima kabisa, naona lindo limekuwa gumu kwangu kuhudhuria...naamini walinzi wenzangu wako salama
Ni kweli limekuwa gumu sana kwako, maana comment ya jana umeijibu leo
 
Back
Top Bottom