Wanaume Mungu anatuona katika hili

Wanaume Mungu anatuona katika hili

Waliowengi kama wewe ungukia pabovu, jamaa atakusotea hata mwaka lkn siku akikunasa na mchezo ukakolea anakupiga mimba na kupotea, akiwa analipiza kisasi cha jinsi ulivomsumbua na wakat huo asingependa kuwa na mpez mwenyeisimamo mikali
Hiyo mimba naipokea kirahisi rahisi tuu mkuu??
Miaka 25 napewa mimba bila Mimi kupenda? Oh hell no
 
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] hushindwii.
Wanaume wa Arusha mnajua kutumia nguvu sana.
Ngoja niende zangu nyumbani.
Si unakaa miazini..! Ngoja nije mikupe escort..
 
Ukitaka uweze kuwa na roho mbaya anza hivi..chukua chupi chana au iliyotoboka vaa.
Kivyovyote hata akikubembelezaje ukikumbuk chupi uliyovaa lazima ukatae tuu.
Dah,Kumbee.hapa nimepata majibu Fulani hivi
asante sana,kumbe humu kuna elimu .Ila mkumbuke
kuna kupata ajali bila kukusudia ukapelekwa
hospitali ukapata aibu kubwa kwa daktari
Ni afadhali usiende kwa jamaa yako kama haupo
tayari kuliko kuja kupata aibu ya mwaka.
 
Si unakaa miazini..! Ngoja nije mikupe escort..
Eeh Mianzini.
Ukitokea kwenye mataa kama unaenda tripple A sheli ya pili hapa hapa unazama ndichi kidogo unakuwa umenifikisha home!
Ila uwe makini nisikupore simu.
 
Dah,Kumbee.hapa nimepata majibu Fulani hivi
asante sana,kumbe humu kuna elimu .Ila mkumbuke
kuna kupata ajali bila kukusudia ukapelekwa
hospitali ukapata aibu kubwa kwa daktari
Ni afadhali usiende kwa jamaa yako kama haupo
tayari kuliko kuja kupata aibu ya mwaka.
Ndiyo hivyo kwenda tunaenda na mzigo hapati.
Tukianguka njiani ni ajali kama nyingine.hahahha
 
Una roho ngumu wewe dada......unaonyesha unaweza hata kuchinja ng'ombe peke yako kwa ujasiri wako
Mkuu mtoto mzuri kama Mimi roho mbaya natolea wapiii.
Eti naweza kuchinja ng'ombe mwenyew. Daah nimecheka sana.
 
Eeeh... mambo yenu ya Golden Rose nayajua sana..

Sasa mimi mhuni wa mianzi utaniweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh Mianzini.
Ukitokea kwenye mataa kama unaenda tripple A sheli ya pili hapa hapa unazama ndichi kidogo unakuwa umenifikisha home!
Ila uwe makini nisikupore simu.
 
Eeeh... mambo yenu ya Golden Rose nayajua sana..

Sasa mimi mhuni wa mianzi utaniweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujawahi pigwa kabali ya mbao wewe.
Nyie wanaume wa sakina vile mpo softi softi.[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom