wanaume msitumie simu ku approach!

wanaume msitumie simu ku approach!

Bree ven

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
375
Reaction score
367
Habar wana jf, jamani men msiwe na mazoea ya ku approach ladies kwa njia ya sms. ni siri nawapa mtakosa wake wema kwa uzembe wenu. Wanawake tunapenda vijana wanaojiamini, ukituma sms ina maana hujiamini so mim nakukataa hata kama vp... kama una nia kweli na unataka huyo mwanamke awe wako wa maisha kwa nn usimfate uso kwa uso? nawasilisha.
 
duh kumbe? sawa sirudii makosa kamwe kwa msg simtongozi tena mwanamke.
 
Habar wana jf, jamani men msiwe na mazoea ya ku approach ladies kwa njia ya sms. ni siri nawapa mtakosa wake wema kwa uzembe wenu. Wanawake tunapenda vijana wanaojiamini, ukituma sms ina maana hujiamini so mim nakukataa hata kama vp... kama una nia kweli na unataka huyo mwanamke awe wako wa maisha kwa nn usimfate uso kwa uso? nawasilisha.
Pole usiku huu ni majanga gani yamekusibu? Huyo aliyekuapproach kwa sms alikuwa na UH++ tu
 
kuaproach hakuna formular.....kama mtu unamkubali hata asipoongea neneo mambo yanajipa tu.....acha visingizio
 
Wengine midomo zege tukikutana na m.mke tu tunaanza kujitafuna ulimi tuacheni tu maana mzungu katurahisishia zaman tulitumia karatasi na peni
 
If I can get a free milk why should I keep a cow? Kwa sms tunawapata kwanini tujisumbue kuwafata mliko? Time is money mamaaa.
 
Mmmmg naona unataka zilee za kuviziana ukitoka sokoni nigande kwny kona haaahaa let technology simplify hii mambo just a txt mzigo huu ghetto.
 
Habar wana jf, jamani men msiwe na mazoea ya ku approach ladies kwa njia ya sms. ni siri nawapa mtakosa wake wema kwa uzembe wenu. Wanawake tunapenda vijana wanaojiamini, ukituma sms ina maana hujiamini so mim nakukataa hata kama vp... kama una nia kweli na unataka huyo mwanamke awe wako wa maisha kwa nn usimfate uso kwa uso? nawasilisha.

Umri unakudanganya, ukikua utajua ukweli. Watu tunagegeda kwa PM itakuwa sms. Km unabisha niPM nisipokugegeda nabadili dini.
 
Hakuna kitu kama hicho. We sema kama jamaa hukumpenda
 
Kutongoza nachukulia kama customer care. Nakuhudumia kuendana na saikolojia yako. Km unataka live nakupa live. Km unataka kupitia facebook nakupa kifacebook. Na km ni PM ya jf nakupa km unavyotaka ila "mission focused"!
 
kama huna mvuto hata utongoze vp utapigwa chini
 
Umri unakudanganya, ukikua utajua ukweli. Watu tunagegeda kwa PM itakuwa sms. Km unabisha niPM nisipokugegeda nabadili dini.
Nilitaka kushangaa nikukose huku We Bazazi Mkubwa kumbe wewe ndo unatuharibia dadazetu humu ze JF???
 
hakuna sheria wala taratbu za kutongoza, hasa ktk dunia ya leo
 
Back
Top Bottom