Jali mama yako pita hivi nani akuzalie na huna dalili ya kumuoa pita kulee pembeni mama zenu waliheshimiwa wakaolewa wakazaa wakasitiriwa sisi sio vitwana mtukome .Hajitumbui huyo yeye kaua mtoto innocent kid then analeta Ushauri maajabu haya Unique Flower
Wewe sijawahi sikia mimi ninachojua ni hiki hatujawahi kuwa wazembee kuwalea wote .Wanawake wabinafsi kweli.Mbona hujaongelea kuwatunza baba zetu au nyie ndo mnatuma laki kwa mama halafu unamwambia Ampe Baba elfu 5.
Hujui kwamba mama alivyokuwa ananyonyesha baba ndo alikuwa analeta nyama ya mtori?
Jali mama yako pita hivi nani akuzalie na huna dalili ya kumuoa pita kulee pembeni mama zenu waliheshimiwa wakaolewa wakazaa wakasitiriwa sisi sio vitwana mtukome .
Hata mm mwanzo sikujua kama even if mama yako anajiweza,lkn kama watoto wake tumejipangia on monthly basis kutuma chochote kitu home ,inakupatia wepesi flani nakuongeza bond kati yako namzaziwakoNdiyo… ina ka raha flani atapata.. au zawadi za hapa na pale.
AMINAMwenyez Mungu asiwaache kwa kila hatua mpigayo
Ukitumiwa mama ataenda sokoni atanunua vitu familia nzima inafaidika.Wanawake wabinafsi kweli.Mbona hujaongelea kuwatunza baba zetu au nyie ndo mnatuma laki kwa mama halafu unamwambia Ampe Baba elfu 5.
Hujui kwamba mama alivyokuwa ananyonyesha baba ndo alikuwa analeta nyama ya mtori?
Kwa hiyo akitumiwa baba hawezi kupitia sokoni na kufanya shopping?Ukitumiwa mama ataenda sokoni atanunua vitu familia nzima inafaidika.