Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari za mda huu,

Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa cha ajabu wanajiona special sana.

Asee waambieni kuwa sio kila anaekunywa pombe kakata ringi, hawa jamaa wanaangalia wale vichaa mitaani wanaamini kuwa ndio walevi walivyo, yaani unamchukulia mtu aliekata ringi anakunywa gongo na chibuka huko alafu wanaamini ndio akili za watumiaji wote wa gambe, hivi hawa jamaa wanajua starehe tunayoipata kwenye gambe kweli?

Wanajua ile burudani ya kuanza kuona taa kama autofocus vile, wanajua kweli furaha ya gambe mwili unavyokuwa strong kweli? wanajua kweli umakini tulionao baada ya kupga gambe, aliewaambia waliopiga gambe wanapata ajali ni nani? Yaani hawa jamaa hawajui kama tukipiga gambe umakini unaongezeka mara 10 ya umakini wa awali, na huwa tunajiamini sana tunaweza kuendesha gari hata kwenye kamba na tusipate ajali? hebu nisaidieni kuwaambia hawa watoto wa mama kuwa njaa haifurahiwi, wasiokunywa ni pesa hawana wasijione special.
 
Je hakuna mnywa soda yoyote anayekuzidi kwa mpunga mkuu??
hakuna mkuu kama wapo ni wakuhesabu ila wanaopiga gambe ni wengi wenye mpunga kwanza ukipata mpunga automatic wazo la gambe linakuja jenyewe maana pesa na gambe ni ndugu mkuu ukiona mtu hatumii gambe jua bado hajapata pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom