Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Mi naona kama wewe ndio una stress kiasi unatupangia namna ya kukutongoza. Sura yako na shepu havimpi mwanaume hamu ya kuprolong mambo yawe mareeefu, we kama umekubali jibu, kama hutaki si basi...hadi uje ulalamike?
Kwa taarifa yako mwanamke hata akiwa chizi anazaa tu, ila mwanaume akiwa chizi thubutu maana yake ni kwamba mwanamke vyovyote nilivyo nitapata tu wa kunigegeda
 
Hmmm!
 
Wanawake ndio huwa hampo serious... Kwasababu haiwezekani uniambie kwamba upo single halafu nakufuata unaanza kunizungunisha....
 
Huo ndiyo ukweli.
Hata ukishambuliwa ila ujumbe umefika.

Kwanza kuanza kuuliza," umenikubalia au vipi ombi langu " Ni uzamani kidogo.

Kuna maombi mengine yanakubaliwa automatically; hayahitaji maswali ya ndiyo au hapana.
Kabisa mkuu
 
Kweli yani mwanamke wa cku hizi ukimwambia tu kwa maneno hayo unaweza ona kama umelogwa. Saivi huwa ni vitendo mjali sana kadri ya uwezo wako ili kumleta karibu. Sasa mwanaume anauliza vipi jibu langu, sijui hapo utajibiwa nini
 
Kuna akina sie ambao kutongoza hatupendi kabisa yaan ni mwendo wa mialiko ya Kutoana out na ofa ndogo ndogo na kukujal kwa sasa as mpenz mpka unajikuta umekuwa mpenz bila kutongozwa....siku ukianza kulia kuwa mbona sikujal au sikupend ndio hapo nakuuliza lini niliwahi sema nakupenda
 
[emoji44][emoji44][emoji44] loh!
 
kutongoza hakuna fomula,,,,,,style hiyo usiyoipenda kwa wengine inawanasa vema tuu......so wala usiwe na hofu mwenye style yako ya kutongoza atakuja....
 
Doooh mbaya wewe hutaki kuconfess
 
kucheza na "hakiri"??
leo asubuhi "harafu"??
nionyeshe "kunijari"??

Kwa uandishi huu hapana aisee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…