Wanaume hawapo wired au design kuprocess mambo ya kidunia kama wanawake.
Wanaume huwa wanatumia mantiki(logic) kwenye kuchakata fikra zao wanawake hutumia hisia. Kwa kifupi wanaume ni straight line equation wanawake sio straight liner.
Unachokifanya hapa ni kuandika maoni yako ambayo ni haki yako kikatiba na kijamii ila unakosea kudhania wanaume na wanawake wanafanana kwa 100%.
Mwanaume kulia it means ana operate kwa kutumia energy ya kike. Yaani mwanaume maisha yawe magumu, au apate msiba, au mtoto anaumwa, au mkewe ana msaliti au maswala yake ya kiuchumi yanakwenda kombo then aende ndani kujifungia alie?




Kweli tunachangamoto kubwa sana ya malezi ya watoto wa kiume miaka hii aisee. Maana jamii inalazimisha wanawake kufikiria kama wanaume na kuwafanya wanaume kuwa na hisia kama za wanawake.
Kimsingi mwanaume hatakiwi kulia sio kwasababu hajisikii kulia, bali hatakiwi kulia kwasababu training za malezi ya kiume hazimruhusu kucompromise uwezo wake wa intelligence ya kiume katika kuprocess kimantikia namna ya kutatua changamoto.
Watoto wa kiume wa siku hizi wanaishi na mama zao tu na bibi zao, wanakuja kuchukuliwa kwenda shule na matron wa kike( hadi juzi serikali wamejadili bungeni hili swala),shuleni anapokelewa na walimu ambao wote ni wanawake, anashinda huko anarejea nyumbani. Program za television na radio ni "wanawake kwanza", "mwanamke wa shoka" "supa woman" haya yote yanawatoa kwenye reli ya kiume watoto wetu wa kiume kudhania maisha ni wanawake na sio jamii ya wanaume wanaoongoza wanawake.