Papillon 1906 JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 207 Reaction score 710 Sep 4, 2026 #1 Baadhi yenu mnakandia vikoba na marejesho kadhalika,mwisho wa siku mna watuma wake zenu kukopa fedha kwenye hivyo vikundi kuendeshea shughuli zenu.
Baadhi yenu mnakandia vikoba na marejesho kadhalika,mwisho wa siku mna watuma wake zenu kukopa fedha kwenye hivyo vikundi kuendeshea shughuli zenu.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 59,206 Reaction score 170,867 Sep 4, 2026 #2 Vikoba ni mambo ya kipumbavu pumbavu tu, unashindwa kutunza hela wekeza hata ufugaji kuku.