inaonekana mkuu wewe ni mmoja wa wanaoongelewa hapo juu...Hakuna sehemu inasema uwaache wazazi wako bali usifurahie wazazi wako wakamsema vibaya mwezi wako mbele yako maana madhaifu yake ni yako pia.Kiufupi wewe ni family politician,unaweza kuwa mkoloni wa familia kwa kujificha kwenye kivuli cha kuzaa watoto!!
Kwanza watoto si wa mwanaume,watoto ni wazazi wote,kusema umenizalia watoto mimi mwanaume huko ni kunizubaisha ili niwe fala kwako,mbona mwanamke alibakwa na akazaa hasemi kwa aliyembaka kuwa nimebeti kifo kuingia leba kukuzalia mtoto?
Mwanamke mwenye hekima hawezi kuongea haya maneno ya kibinafsi na kibaguzi,kwahiyo mmeo awakumbatie wazazi wako awaache wazazi wake au vipi[emoji16],
Mi nadhani mwanamke na mwanaume wanatakiwa waishi vizuri bila kuegemea upande wowote,hakuna anayetakiwa kujiona ana anafaa zaidi kuliko mwenzake.
Mtoa mada acha siasa,
Ukimpenda mke wako hutamtangazia madhaifu yake yawe ya kweli au uongo kwa ndugu na marafiki zako...pia ukimpenda mke wako hutafurahia asemwe vibaya mbele yako. Kwa kifupi ukimpenda mke wako yote hayo hayatafanyika ni sawa na heshima tuuBiblia haisemi tuwaheshimu wake zetu bali tuwapende....wake ndio wameaswa kutuheshimu na kututii sisi....Mungu anajua kabisa kuwa mwanamke akiheshimiwa huwa anabadilika na kuwa mbaya kuliko shetani...yy apendwe tu..ova
inaonekana mkuu wewe ni mmoja wa wanaoongelewa hapo juu...Hakuna sehemu inasema uwaache wazazi wako bali usifurahie wazazi wako wakamsema vibaya mwezi wako mbele yako maana madhaifu yake ni yako pia.
Ni mwanaume mkuu
Mkuu uzi unasema usifurahie mwenzi wako akisema vibaya hata kama na mama au baba yako. Upande wa pili unasema waheshimu na kuwajali kwa salamu wakwe zako sasa sijui wewe umesoma wapiHujaona alivyozungumzia wakwe? Mi sijaoa bhana wewe,ila napenda haki
Mkuu uzi unasema usifurahie mwenzi wako akisema vibaya hata kama na mama au baba yako. Upande wa pili unasema waheshimu na kuwajali kwa salamu wakwe zako sasa sijui wewe umesoma wapi
Ni upendo.....kulingana na biblia takatifu....Ukimpenda mke wako hutamtangazia madhaifu yake yawe ya kweli au uongo kwa ndugu na marafiki zako...pia ukimpenda mke wako hutafurahia asemwe vibaya mbele yako. Kwa kifupi ukimpenda mke wako yote hayo hayatafanyika ni sawa na heshima tuu