Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Mwanamke akitulizwa anatulia mf. Hai ni zari ,zari alikuwa anadate na kila mtu kila mtu,hadi akaitwa shangingi ila leo shaby wake amemtuliza zari hasikiki kama yupo.
Katulizwa tuli anapewa huba lakutosha. So mnapo dai mwanamke malaya aliwahi tulizwa akakataaaa. Sema mtu akipata chake ni chake.
Njoo huku kuna kazi za kufanya tofauti na hizo zisizokuwa na msaada kwakoMwanamke akitulizwa anatulia mf. Hai ni zari ,zari alikuwa anadate na kila mtu kila mtu,hadi akaitwa shangingi ila leo shaby wake amemtuliza zari hasikiki kama yupo.
Katulizwa tuli anapewa huba lakutosha. So mnapo dai mwanamke malaya aliwahi tulizwa akakataaaa. Sema mtu akipata chake ni chake.
Ni muda tu huyo shaby sijui shabani atajua kunguru hafugikiMwanamke akitulizwa anatulia mf. Hai ni zari ,zari alikuwa anadate na kila mtu kila mtu,hadi akaitwa shangingi ila leo shaby wake amemtuliza zari hasikiki kama yupo.
Katulizwa tuli anapewa huba lakutosha. So mnapo dai mwanamke malaya aliwahi tulizwa akakataaaa. Sema mtu akipata chake ni chake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji445] kijito cha utakaso [emoji445].......
UongoooNi muda tu huyo shaby sijui shabani atajua kunguru hafugiki
Zipi hizo??Njoo huku kuna kazi za kufanya tofauti na hizo zisizokuwa na msaada kwako