Wee mdada Latoya umekaa kichinachinaaaaa..kha! hata jamaa yako akiona the way unavyojiadvertise humu atakudump on the spot!!! Walah nasema hii thread umeianzisha kwa nia ya kujitangaza and in such wewe sio wife material..umekaa kidemdem-uswahili mno bana!!
nilipokuwa single hakuna men alihangaika nami,bt now am with smone imekuwa kero wananijia wengi hadi naogopa.? kwa asil mie ni mwera nikiwa na man anadata ,its nature wale single boys walo nikataa wanakuja kwa kasi,bt why.?
Ulipokuwa single hakuwepo mwanaume wa kuhangaika na wewe..ila baada ya kuingia kwenye mahusiano wameanza kukusumbua..kwakwel hapo majibu ni mengi sana..inawezekan kwa sasa umependeza kama wanawake wengne wenye mvuto kuliko awali...
'hongera kwa nature yako ya kudatisha wanaume'
H.O.E Uandishi wa kifesibuku. Mwenye nature ya kudatisha wanaume by now she should have been married or have a family at least!
Wee mdada Latoya umekaa
kichinachinaaaaa..kha! hata jamaa yako akiona the way unavyojiadvertise
humu atakudump on the spot!!! Walah nasema hii thread umeianzisha kwa
nia ya kujitangaza and in such wewe sio wife material..umekaa
kidemdem-uswahili mno bana!!
Ulipokuwa single hakuwepo
mwanaume wa kuhangaika na wewe..ila baada ya kuingia kwenye mahusiano
wameanza kukusumbua..kwakwel hapo majibu ni mengi sana..inawezekan kwa
sasa umependeza kama wanawake wengne wenye mvuto kuliko awali...
nilipokuwa single hakuna men alihangaika nami,bt now am with smone imekuwa kero wananijia wengi hadi naogopa.? kwa asil mie ni mwera nikiwa na man anadata ,its nature wale single boys walo nikataa wanakuja kwa kasi,bt why.?
labda ulikuwa unawatongoza macho kodo kodo. Wanaume tunapotongozwa na mwanamke tunakubali kutokana na lugha ya mwili wa mtongozaji, na si kwa maneno ya mtongozaji.