Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
wanaogopa majukumu hao... Sasa kwa vile jukumu kubwa kabeba jamaa, basi wanataka vya burenilipokuwa single hakuna men alihangaika nami,bt now am with smone imekuwa kero wananijia wengi hadi naogopa.? kwa asil mie ni mwera nikiwa na man anadata ,its nature wale single boys walo nikataa wanakuja kwa kasi,bt why.?
non nishakuwa nao kadhaa ila nilistop for almost4 years nikagraduate na kuanza kazi govt,toka nimeanza job this guy was on my nerves 4 a year,nikawauliza mashosti wakasema he is a player i have to stay away from him,mwaka ukaisha wth him insisting then i said may b he is real an i accepted his request last decsamahani kwa kuuliza, je ndio mwanaume wako wa kwanZa
'
no he is not doing anything to me japo anataka ila nimemkataza,he has his job an money am also working so i stopped him,ila ananipa deals za ukweli hadi nadata
....because ulivyokuwa single ulikuwa na chunusi nyingi sana usoni, lakini baada ya kumpata huyo jamaa akakumwagia mwagia "lotion" ngozi sasa inateleza ndio maana hao fisi wanakuja kwa kasi.nilipokuwa single hakuna men alihangaika nami,bt now am with smone imekuwa kero wananijia wengi hadi naogopa.? kwa asil mie ni mwera nikiwa na man anadata ,its nature wale single boys walo nikataa wanakuja kwa kasi,bt why.?
nilipokuwa single hakuna men alihangaika nami,bt now am with smone imekuwa kero wananijia wengi hadi naogopa.? kwa asil mie ni mwera nikiwa na man anadata ,its nature wale single boys walo nikataa wanakuja kwa kasi,bt why.?
nilipokuwa single hakuna men alihangaika nami,bt now am with smone imekuwa kero wananijia wengi hadi naogopa.? kwa asil mie ni mwera nikiwa na man anadata ,its nature wale single boys walo nikataa wanakuja kwa kasi,bt why.?
do u really love him au umemkubalia coz hao wengine uliokua unawavizia walikukataali ukaamua kumkubali jamaa ili kuziba maengo!?:A S 13:non nishakuwa nao kadhaa ila nilistop for almost4 years nikagraduate na kuanza kazi govt,toka nimeanza job this guy was on my nerves 4 a year,nikawauliza mashosti wakasema he is a player i have to stay away from him,mwaka ukaisha wth him insisting then i said may b he is real an i accepted his request last dec
....because ulivyokuwa single ulikuwa na chunusi nyingi sana usoni, lakini baada ya kumpata huyo jamaa akakumwagia "lotion" ngozi sasa inateleza ndio maana hao fisi wanakuja kwa kasi.
Kuna baadhi ya wanaume huwa kama mapaka shume!wanaona tu raha kuiba iba wake za watu na ni tabia ya kutojiamini na hivyo hupenda kujipima kukubalika kwao kwa kurubuni wake ama wachumba za watu.Mf mtu wako kama anafanya TRA basi akikurubuni ukakubali naye anajihisi kama keshakuwa bosi wa TRA!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Goodmorning.
do u really love him au umemkubalia coz hao wengine uliokua unawavizia walikukataali ukaamua kumkubali jamaa ili kuziba maengo!?:A S 13:
Sasa kabila lako linatusaidia nini sisi.
nope am nt sold bt am wit am1
Halafu kwa nini ukubali boys wakufuate???
HONGERA SANA, but we ni kabila gani tena?no i realy love him kuna issue ilitokea kati yetu ka 2weeks ago i cried a lot an thats when i realised i do love him,wajua kwetu wanawake love inakuja slowly ,imaginé imemtake one year to Tel me his love an it was dec last year when i said i love u too....so its real