Hawana shida na wewe but wanataka kuwa wanamsanifu Jamaa yako. Wewe unadhani shida ni wewe?wao ni wanataka Jamaa yako awe laughing stock wao. Thus it. Kumbe hujui hilo.
Msimamie bwana wako sasa, make him to feel proud, stand for him, maintain His respect, dont ever fail him. Be there for him.