Wanaume mnataka mgundue nini

Wanaume mnataka mgundue nini

Mima white cute

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
740
Reaction score
1,305
Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.

Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.

Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu

Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?
 
Tamaa ni kitu kibaya sana hata kama mtu akiwa na wake wanne lakin bado atataman tena wengine ndo maana wakristo wanapinga sana habar za wake wawili ili kupunguza kuchepuka

Mtu hata kama akiwa na mke mmoja kama hana tamaa hawez chepuka lakin mtu hata kama akiwa na wake saba atachepuka tu
 
Wanaume bila kujizuia utazini sana maana kila mwanamke ambaye hujamuonja huwa kwetu ni mzuri
Kikubwa ni kuishinda nafsi
 
Mima kila siku lazima
18e5b8bef86e18884515900389a02185.jpg
 
Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.

Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.

Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu

Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?

So unamuonea wivu Mama yako mdogo eti?
 
Huyo msichana alokua nae yupo sahihi kuwa na mwanaume umri wa baba yake? By the way km baba yako ni wa iman ile... Labda anataka kuongeza mke wa tatu bado yupo kwenye uchumba na huyo binti
 
Acha Wivu,,, Ukitaka kujua wanaume wanataka kugundua nn, ni pale anapokuja kwako tena kuomba mchezo wetu ulee, Ukikataka tuu, anakwambia kwanza sio mwanangu halisii, atakupa ahadii nyingiiii utakubali, hapo ndo utajua "No one can stop reggae"

~~Ukiona hajakufata ujue we ni zombiii, huna vigezo kwakee
 
Tamaa ni kitu kibaya sana hata kama mtu akiwa na wake wanne lakin bado atataman tena wengine ndo maana wakristo wanapinga sana habar za wake wawili ili kupunguza kuchepuka

Mtu hata kama akiwa na mke mmoja kama hana tamaa hawez chepuka lakin mtu hata kama akiwa na wake saba atachepuka tu
Ukiona mwanaume ana mwanamke mmoja fahamu ashapigwa kipapai huyo
 
Acha Wivu,,, Ukitaka kujua wanaume wanataka kugundua nn, ni pale anapokuja kwako tena kuomba mchezo wetu ulee, Ukikataka tuu, anakwambia kwanza sio mwanangu halisii, atakupa ahadii nyingiiii utakubali, hapo ndo utajua "No one can stop reggae"

~~Ukiona hajakufata ujue we ni zombiii, huna vigezo kwakee
Kweli no body can stop reggae......umenikumbusha mbali hili dudeee
 
Back
Top Bottom