Wanaume mnatafutaga nini?

Apa Gyole yani gua mau wee? Mwatenda yani? Pole muntua!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona jogoo anatembea na watetea wote hata hawamaindiani kwanni wwe
wanaume hatukuumbiwa EVA bali tuliumbiwa HAWA.

Ondoa hofu mbona wanaume wengi tu.
 
Sista pole.Ila wanawake kumi siyo wengi sana hata hivyo jamaa ni muelewa sana huyo sababu wanaume wengi huwa na wanawake zaidi ya ishirini hivi.sema alichokosea ni ku leakisha taarifa wengine hupigaga kimya kimya na mambo ndani yanaendelea vizuri tu.so siyo rahisi kumkuta mwanaume mwaminifu 100%.ukimkuta hachepuki atakuwa na tabia mbadala mbaya pia. so wewe jaribu kuongea naye umalizane mkubaliane upya.sababu usingle ni taabu sana.unaleta shida saan kuuzoea ikiwa ulikuwa kwenye ndoa.halafu utaapotaka kurudi atakuwa ameshakudelete mazima


 
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usiteseke Gyole kaa pembeni ili umpe nafasi ya kuji enjoy mubashara huyo.
Hutojutaaa kufanya hivyo
 
Ilimjua sana tu sema kuna vitu(maslahi) ulifata zaidi ya mapenzi sasa vuna ulichopanda, ni ama kuachana nae au uvumilie hivyo hivyo, staki kuamini kuwa ameanza tabia hiyo ukiwa nae, laa alikuwa nazo ila wewe ukadhani anaweza kubadilika.
 
Gyole usalama kama upo wa kutosha na wa uhakika zaid tatizo li wapi siku zote huezi kuikimbia hii ni asili ya kila mwanaume never never huezi kuta mwanaume ana mwanamke mmoja hili liweke akili.
Am sory Gyole ktk mapenzi huwaga sina ushauri maana siku wakipata mmoja akiwa juu ya mwenzake wataanza sema jamaa fulani alisema hv
 
Nyinyi wadada nao siku hz mmezidi kutuchetua

Last wk nilikutana na mchepuko wangu nikaona mnyoo wa ajabu ktk k nikamuliza kulikono ndio umenyoaje akaniambia hu mnyoo unaitwa timber land kilichofuata baada hapo ni siri yangu ila nashukru nilikumbuka kurudi nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…