Wanaume mnatafutaga nini?

Hunter Acha Zako Huyu Mrembo Ndio Ameniacha Ananiita Shetani. Acha Kunipeperushia Ndege.
POLE SANA KWA KUMPENDA SHETANI, MAY BE MTAFUTE MALAIKA ATAKUFAA

SIKU ZOTE DUNIA HAIKO FAIR...MKIAMBIWAGA MSIPENDE MAZIMA MAZIMA NYIE MNAKUWA WABISHI
 
Shida yenu kama hapo unalalamika ukipata mstaarabu shida zote za Mr. Shetani wako utaanza kumpa Mr. Mstaarabu

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hebu jibu kiukweli toka moyoni.

Ushawahi kuwa na uhusiano na wanaume waeili au zaidi kwa wakati mmoja?
 
Endelea nae acha ujinga we binti,
Wanaume hatukuumbiwa kuwa na mwanamke mmoja,na ukiona mwanamme Ana mwanamke mmoja so mzima huyo akaimwe au Hali uake ya uchumi ngumu au anakamatia chips funga a.k.a dada poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu,wanavosema tunza bikra yako mpk ndoa sio wajinga.......


ona sasa hizi stress unazopata, vidonda vya tumbo vipo njiani kama havijafika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…