Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

Wanawake bhana wanataKa wamtawale mwanaume kila idara lkn wanarudi wao kuanza kunungunika tena

Sikiliza

Faida ya mavizi na nywele kwapani

Kuna secretary glands nambazo hutoa majimaji yanayosababisha kubost libido kwa mwanaume. Kuna bacteria wengi sehemu hizi za nyele nyingi amabao husecret usiful materials kwa kinga ya mwili na wanauwezo wakutoa vit E itafute ujue manufaa ya Ngozi. Na ktk mapenzi wazungu wajanja wnawaacha mnanyoa harafu wanawauzia losheni yenye vitamin E

Mnafanya ujinga sana harafu mnarudi kusema mwanaume hakuridhishi


Punguwani wakubwa
dear huna chet feki kweli?
 
umenichekesha mpaka basi!!!!! by the way hivi kweli mwanaume akae bafuni NUSU SAA au SAA NZIMA anaoga???? serious kweli!!!! labda kama anafanya ule mchezo pendwa wa pun..........o. Ila sio kwa kichambo hicho looo!!!
ntafurahi sana kama umenyoa hii ni kampen tokomeza v.zi
 
Kwenye ule mfereji: nani kasema kunyoa zile nywele za makalioni ni ushoga? embu acheni hizo mwanamke wa kujiamini kama mm siwezi kuta mkaka wa watu kanyoa nywele za kule nikamuwazia mabaya, tangu leo nasema hivi huo ni uchafu kama unazo leo nyoa zote kipara usiende nazo kesho kazini.
Fafanua hapa njia gani inatumika kuzinyoa hizo ndevu za makalioni na anyejinyoa akae staili gani
 
Uzi mzuri sana umegusia nyanja muhimu sana vya usafi haswa hapo kwenye kinywa ubalikiwe kwa ukumhusho japo JF imejaa mzaha kiukweli kumwambia mpenzi wako vitu vyengine Direct sikitu rahisi nayeye lazima ajisikie bibaya.

Nitaanza kutekeleza kesho tu baadhi ya vitu haswa kinywa sijasema kinywa changu kichafu ni hizo njia.

Naushea kwenye store yangu ya WhatsApp.
asante kunielewa wengine wananibeza ila wasipobadilika basi watoto wazuri kama sisi wataishia kutuona jf na vi id vyetu feki.

labda nikushauri kitu usiwe na aibu mbele ya mpenzi wako, tengeneza mazingira ya kumwambia kama ana kitu ambacho hupendi.

mfano, unaweza mpigia simu ktkt ya story unaleta mada ya usafi unamwambia mfano baby mm huwa sipendagi nywele za makwapani, au v.zi etc au kitu kingine kama kweli anakupenda atabadilika.

mimi niko creative sana kabla sijakutana na mwanaume huwa namtega namuuliza hivi baby ni vitu gani kwenye mapenzi hupendi? namsikiliza akimaliza na mm nashuka tena namwambia kwa msisitizo kwamba harufu yeyote ana nywele zozote tofauti na kichwani papuchi sikupi. kwa kufanya hivyo sijawahi kutana na watu wa hivi, mm sio mbaguzi ila kwenye swala la usafi nabagua balaaa maana mm mwenyewe msafi mpaka najistukia, hasa nikiwa kwa watu.


hata niende kutembea sehemu nabeba kila kitu hadi sabuni ya kuogea dodoki, kanga zangu yaani spendi kusumbua watu
 
umuhimu wa kutokata nywele kamauulize samson

ila sawa umesikika ila na nyie muoshe njia za mkojo hizo kila mtokapo kukojoa...yani mtoto wa kike anakwenda chooni kukojoa bila hata maji kwenye kopo....90% hawaoshi sehemu za nyeti baada ya kutoa haja ndogo
nextweek zamu yao lazima niwafundishe kila kitu.
 
Back
Top Bottom