Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 767
Point..Kwani singo maza hawezi kuwa alitoa mimba kabla? Anaweza kuwa kazaa na ashatoa mimba kadhaaa na mwinginw anaweza kuwa hajazaa na hajatoa mimba.
Mi huwa sielewi kabisa kwa hili special group lililojiibua siku hizi "singo maza" kuna siku nliona hadi kuna kipindi kabisa cha TV eti cha singo mazas serious???
Teh sijui nitaambiwa najishaua!!! Ila mie siwaelewi hii huruma wanohitaji kwa jamii ni ipi hasa
kulelewa na single mom sio kigezi cha mwanaume kutochukia single mother
hahaaUnawaza matusi sana kiasi kwamba badala ya kuandika "kama"...umeishia kuandika "K.uma"
Matokeo yake, maneno yamefichwa
hahaaThread Zote Hizo Ulizoziona Zinaitwa Jiwe Gizani Sasa Walisema Ukisikia Kelele Tu Ujue Tayari Limempata Mtu
hahaaTumekuelewa mkuu,single mothers, welcome to the new world.....
malizia DANGOTESasa mimi nimpeleke wapi mtu keshazalishwa. Hayo mambo anayaweza Mswahili wa Tandale Chibu.