Wanaume mnashangaza sana

Head Gelo

Senior Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
122
Reaction score
210
Hivi mnavyowaponda single mazaz, mbona ndo hao hao waliowalelea?????

Dah kutokana na mijadala mingi ya hapa jf nimeona nije na huu uzi

Ipo hivi, baadhi ya wanaume wamelelewa na single mazas yaani mamake alipewa mimba na mwanaume mwingine akamkataa mtoto akakulia kwa bibi, au wengine walikuwa na ndoa wakaachana, au mamake aliolewa yeye akiwa ameshazaliwa so akalelewa na babake wa kufikia ila cha kushangaza mtu huyo huyo anasema usije owa single maza.

Hivi wewe ujue mamako asingeolewa pengine asingezaliwa mana mamako aliolewa akiwa na watoto watatu wewe ukaja kuwa wanne.

Pia mamako asingeolewa hao leo unaowaita brothers sisters usingekua nao mana mamako naye alikuwa ashaachwa

Hebu heshimuni hawa wadada msiwafanye wajione si binadamu nao wana haki ya kupendwa na kuthaminiwa


NOTE:SIONGELEI WALE WALIOJIKENGESHA KWA WAUME ZA WATU WAKADAKA MIMBA ILI WAOLEWE, NAONGELEA, WALIOKATALIWA BADA YA KUZALISHWA, KUACHWA, KUNYANYASIKA KWENYE NDOA AKAAMUA AONDOKE, KUFIWA ETC

MUHIMU:MIMI SIJAOLEWA BADO NA SINA MTOTO
 
Changamoto kubwa ya kuoa singo maza ni pale mkeo anapobidi awasiliane na mzazi mwenzie juu ya mtoto wao hatakama ikiwa tu kwa nia njema. kwakweli kama mwanaume lazima jambo hili likuchome moyoni hasa ukizingatia watu hawa washafanya mengi ya siri na ya wazi kabla yako.
 
ki ukweli mleta mada ni single maza kubali kataaa ila ndo ukwelii..
Mkuu bado sijaolewa na sina mtoto, ila kama umepitia uzi wangu ulopita ni kwamba ni melelewa na hawa wamama so siwezi wachukulia poa hata siku moja.
 
Tatizo la single mother ni kudhani kama huo ni ugonjwa na unahitaji special attention. Every woman has their own struggles. Be it they are married, divorced or widowed! Hakuna uspecial wowote katika kuwa single mother manake unaweza kuwa na mume asietaka kufanya kazi, mchoyo ama asietaka kushare bills.

Especially hapa jf sijaona huo unyanyapaa wa single mothers. This is purely attention seeking. Wanaume waliomo JF wanajitambua na kwa kiasi kikubwa wanaheshimu kila mmoja humu.
 
binadamu tunajisahau sana, wanaume wengi wanasahau kuwa hata hao wake zao waliowaoa au watakaowaoa inawezekana one day wakatangulia mbele za haki wakawaacha wakiwa singo mazas
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…