wanaume mnapoogopa kutembea na wake zenu ugonjwa??AMA

naona leo mkuu wangu umekuja "kivingine".umesababisha nianze bia na wisk mapemaaa kwenye thread ya vituko vya atc.hapa nimeshalewa kwa sababu yako...

mpwa usilewe shigongo yuko mitaani leo !!!
 
kuna umuhimu wa invisible kuanzisha jukwaa la wanandoa.jukwaa ambalo ku-acce$s ni lazima uattach kopi ya certificate of marriage kwa invisible.kinyume na hilo,tunawatisha wakina fidel na gp ambao hawajaoa.wanaweza kudhani ndoa ni ngumu sana.USHAURI BINAFSI JAMANI

Hilo muhimu mpwa request sent
tatizo hata wanarudi kule kwetu unakuta atujawasaidia
 
Back
Top Bottom