ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.
Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.
Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
Na Hawa alishawishiwa na Shetani kula tunda, Hapa kuna somo moja wanaume tunakwenda na Mungu na wanawake wanakwenda na shetani.ADAMU alipo ulizwa na MUNGU
Sioni sababu ya kumwaga ugari na kususiana mbogaADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.
Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.
Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
Tena tusikukamate; utakula ngwala na makwenziπNa Hawa alishawishiwa na Shetani kula tunda, Hapa kuna somo moja wanaume tunakwenda na Mungu na wanawake wanakwenda na shetani.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
MIT. 10:1 SUVADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.
Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.
Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
Ndiyo maana wanawake hawatakiwi kupewa uhuru zaidi wa kuzurura hovyo. Nadhani umeona Eva alichomfanyia Adam!Halafu huyo Adam kwanini alimuacha Eva atembee peke yake ili hali ni mgeni eneo lile! Yeye ndio kasababisha yote haya
Kabisa mkuuNdiyo maana wanawake hawatakiwi kupewa uhuru zaidi wa kuzurura hovyo. Nadhani umeona Eva alichomfanyia Adam!
Halafu huyo Adam kwanini alimuacha Eva atembee peke yake ili hali ni mgeni eneo lile! Yeye ndio kasababisha yote haya
MIT. 10:1 SUV
Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.
MTOTO AKIFELI NI WA MAMA AKICHANA WA BABA
Nafikiri ni tafsida. Kwa maana sikuona sababu ya wao kuoneana aibu baada ya kula tunda kama maandiko yanavyosema. Huenda ni tunda lenyeweπ€Hivi hilo ni tunda la ukweli ama ni tunda kwa lugha yakitafsida
Umejua kunichekesha we kamchuchu... hebu nidanganye na mimi unionjeshe tundaHalafu huyo Adam kwanini alimuacha Eva atembee peke yake ili hali ni mgeni eneo lile! Yeye ndio kasababisha yote haya
Halafu huyo Adam kwanini alimuacha Eva atembee peke yake ili hali ni mgeni eneo lile! Yeye ndio kasababisha yote haya
Ndiyo maana wanawake hawatakiwi kupewa uhuru zaidi wa kuzurura hovyo. Nadhani umeona Eva alichomfanyia Adam!
πππππππππππππππKwa hyo mnataka tumifungie ndani tusiwape uhuru Kama hapo zamani?