Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,827
Wewe mwenyewe unatukera sana, mpuuzi mkubwa weeeWanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi.
Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea
Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuweni makini na hili tangazo …unaweza kukuta ni mwanaume anajifanya mwanamke,,,, jf raha sana
Gold diggerWanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi.
Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea
Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡
Watu tunachuuzwa tu hapa na huyu mwamba. Halafu hiyo mistake yeye mwenyewe hata hakuigundua.Saa kumi jioni mtu anasema good morning?
Aidha huyo jamaa ni limbukeni(na ndio maana unampelekesha) au kuna mchezo hapa siuelewi
unajichatisha?
Then kanajiita strong and fearless.. kamecheleweshewa hela kidogo kanakuja jamii forum. Kakitelekezwa haka kanajiuaSingle mother again
Hata kwenye salio nao panavuja, salio haliwez kuwa kwenye exact figureSaa kumi jioni mtu anasema good morning?
Aidha huyo jamaa ni limbukeni(na ndio maana unampelekesha) au kuna mchezo hapa siuelewi
unajichatisha?