Wanaume: Mnajizuiaje kutembea na wasichana wa kazi?

Nmehangaika cku nyingi sana kutafuta kadada wa kazi ambao hatanisaidia shughuli za nyumbani
Nafurahi tangu nipate imekua siku kama tatu ivi nakula kwa mda na naondoka mapema

Alaf swali kwa wanaume wenzangu..ivi mnajizuiajeg kumuacha bekitatu bila kumla..maana kadri siku zinavyozidi kwenda naona anazidi kuwa mzuri tu..
Me yamenikuta sina hamu nao,,,nilimpa Elfu 50 akanunue chochote ili tu kumshawishi anipe K, ela kachukua na amemuambia dada yake kuwa shemeji ananitaka, ,,aisee ni hatari,,cha ajabu ajamuambia kuhusu kumpa hela, , story ya kweli iyo
 
Yaani "mwanaume" unaishi peke yako na umeajiri house maid!!!
 
Nmehangaika cku nyingi sana kutafuta kadada wa kazi ambao hatanisaidia shughuli za nyumbani

Nafurahi tangu nipate imekua siku kama tatu ivi nakula kwa mda na naondoka mapema )

Aka kadada jamani kanakula kukuu..nakumbuka cku ya kwanza nimekuja na kuku mzima kwa ajili ya kula yy mchana na ucku..hee nakuja usiku anasema alikula kaacha mchuzi tu.

Alaf swali kwa wanaume wenzangu..ivi mnajizuiajeg kumuacha bekitatu bila kumla..maana kadri siku zinavyozidi kwenda naona anazidi kuwa mzuri tu..
dah mkuu kumbe umeajiri mpenzi!
Mimba hiyoo yaja!
Kuhusu msosi mwanzo mwanzo ndio zao wanakula kama hawana akili nzuri baadae wataacha we ongeza kwa wingi vitamkinai in no time ila kama unataka kuenjoy maisha ya msaidizi wa nyumbani muhesgimu tu usimgegede kwa kweli utabarikiwa sana na utaona upendo wake kwa familia yako na ikifika likizo mapema mfungashie zawadi apeleke kwao .
Siku akimaliza mkataba na nyie atalia kea huzuni na hata wasahau kuna mmoja aloenda kuolewa kwao mpaka leo mwaka wa nne anawasiliana nasi tayari anafamilia yake.
Hayo magenye yako nenda nayo tu club kazingue changu doa tu upooze mzuka!
 
Mbaya tu kama anakula misosi yote hiyo halafu unamwona jamaa wa rika lako anamgegeda
 
Utakuwa wa kanda ya ziwa huyo, mana wale watu ktk kula hawajambo.

Rudisha kwao mkuu, atakutia umasikini huyo
 
Kanamke kaivo raha man ,,,nunua mzigo kwakilo kilo weka ndani ,itamkifu tu.

Sema nn , acha kuhalalisha sababu zako mwenyewe ili ukale katoto Ka watu
 
kwa ulaji huo utamla muda si mfupi.. sijaona simba akimlea swala
 
Back
Top Bottom