Wanaume mnajiamini sana aisee

Mademu wa Dodoma wanatembea na ganda kwa ajili ya kunyunyizia ili usinzie hatari sana hawa watu.
 

Haya,Tumesikia.

Niliwahi ambiwa mwanaume salama ni yule anaweza thibiti matamanio yake na mdomo wake.
 
Kwa kweli umetoa hoja zenye nguvu! Na zinatafakarisha kabisa!
Fikiria mwanamme umeacha mke nyumbani tena kabla hujaanza safari unapewa kitandani harafu unaagwa! Lakini ukifika huko unakwenda kuokota mwanamke usiye mjua!
Kama siyo kurogwa tubadilike!
 
Hakuna kitu kinatesa wanaume Kama stress za kutafuta hela,akifanya hio michezo zile hormones zikitoka akili inarejea,wakinamama wakiwa na hamu unakuta ni wkt muda wote,wengine wanaongea kupitiliza hadi unajiuliza ndio huyu,wengine kitu kidogo amesusa kwakua mwilini hormones hazijakaa sawa kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ