hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
Msiogope kufanya mambo ya maendeleo kwa sababu ya kuogopa kuchapiwa. Mwanamke unaweza kuwa nae 24/7, 365 days a year, lakini kama ana hulka ya kuchepuka huwezi mzuia. Mbona kuna wengi tu wanaojitambua!!!.
cheating ni kama kilevi kingine, iwe sigara, pombe, bange nk... kama mtu yuko addicted to cheating atacheat tu, hata awe anatombwa au kutomba kila siku, tena hata awe na zana/nyeti za namna gani
Asante kwa maneno yako. Mume Wangu ni addicted sana kamwomba hadi house helper she is only 14years old, yet ana michepuko kibao. Namhurumia sana mume Wangu maana ni mtumwa wa K.
cheating is mental not physical.... wapo wasiopata watakacho lakini hawahangaiki
cheating ni kama kilevi kingine, iwe sigara, pombe, bange nk... kama mtu yuko addicted to cheating atacheat tu, hata awe anatombwa au kutomba kila siku, tena hata awe na zana/nyeti za namna gani
cheating is mental not physical.... wapo wasiopata watakacho lakini hawahangaiki
Asante kwa maneno yako. Mume Wangu ni addicted sana kamwomba hadi house helper she is only 14years old, yet ana michepuko kibao. Namhurumia sana mume Wangu maana ni mtumwa was K.
Namuomba Mungu tu aniepushe UKIMWI.
Wanajamii ni jumatatu nyingine.
Tuongeze maarifa kidogo! Asubuhi hii nimepanda Noah kuelekea kibaruani kwangu, abiria tulikuwa km 10 na wajinsia tofauti.
Mada ya mahusiano ikaja Ilianzia katika taarifa ya radio kutoka magazetini kuwa, kuna kisanga kwa moja ya wanandoa, sababu ikiwa ni matokeo ya DNA.
Hayo tuyaacheMjadala ndani ya Noah yetu ulihusu usaliti katika mahusiano!Kuna mwanadada wa rika la kati, yeye alitoa malalamiko yake na shutuma kwa wanaume wasomi.
Anasema wanaume wasomi, hasa wenye ajira wanachangia sana wanawake kuchepuka Kwa vile wamefeli kutumikia mabwana wawili huku ajira huku mke.
Anafafanua kuwa, hawa wanaume hawaishi safari za semina, warsha, mikutano na pia kurudi nyumbani late hours wakiwa wamechoka sana na kushindwa kutimiza majukumu ya kitandani.
Mwanadada huyu akatuma shutuma zngine kwetu na hasa wale wenye kusoma ngazi za elimu yenye kuhitaji uandishi wa pepa. Anasema mwanadada huyu kuwa, mwanaume yuko busy na paper research paper hana hata muda wa hugs, outings, love stories n.k.
Mbaya zaidi analalamika bidada kuwa inafika wakati mpaka usiku wa manane, jamaa yuko busy na paper! Jumamosi na Jumapili yuko busy na paper anamaliza kusema yeye, na kwa wanaume wa sampuli hii hapo juu, atagawa sana kikojoleo chake nje.
Anamaliza kwa ushuhuda kuwa marafiki zake wawili wanachepuka kisa, waume zao wameenda kufanya PhD nje na mwingine yuko busy na research paper.
Hili si la kupuuza Nimelileta kama shule kwetu sote naomba wanaume wenzangu tuliweke hili akilini na tulifanyie kazi kuona ukweli wake na magnitude ya athari zake kwa mustakabali wa mahusiano yetu.
Slim5.
Akatombwe nisijue ila siku ikithibitika ametoa k yake nje ya ndoa.atahamia hukohuko.pumbaaaaav.
Haki Sawa wote. We ukitoka nae atatoka hakuna mwenye moyo wa chuma. Maumivu ni Yale yale
Haki Sawa wote. We ukitoka nae atatoka hakuna mwenye moyo wa chuma. Maumivu ni Yale yale
mkuu ili uishi kwenye ndoa miaka mingi na kwa amani, ondoa kabisa kitu inaitwa emotional feeling. Let the lady loose her heart because of you, but you hold your heart tight, dont lose it. emotions ndo chanzo cha matatizo mengi sana maishani, na magonjwa mengi pia. ukiendekeza emotion, magonjwa kama presha na kisukari ujue hayo ni yako, coz you will end up depressed by the end of the day.