Wanaume mna tatizo gani?

Duh wasiwasi wangu wanaume wengi kuichukulia rahisi mada hii, kuna reflect ukweli kuwa wengi wetu wanatuaibisha kwenye suala zima la ukunaji.
 
inabidi nitafute mechi ya ugenini nipime kiwango
 
Sintah hebu tupe solution sasa sio kutulaumu tuu ,tufanye nini sasa ?
 

Inawezekana kweli vyakula vya kisasa ikawa tatizo lakini mi najiuliza, kwa nini hivi vyakula vya kileo viwaathiri wanaume tu? Au bayolojia hapo inasemaje? Inawezekana pia changamoto za maisha ya siku hizi zinachangia kwa kiasi fulani. Hata hivyo na nyie wanawake tupeni sapoti ya kutuninihii mnapoona hiyo hali siyo kulaumulaumu tuuu
 
Pole sana Sintah yamekukuta mama
Mi nikushauri ubadili kidogo Kichwa cha Habari hii na isomeke hivi "Wanaume wa Dar mlilogwa na nani?"
 
Tuombe radhi wanaume wa dar
pole sana sintah yamekukuta mama
mi nikushauri ubadili kidogo kichwa cha habari hii na isomeke hivi "wanaume wa dar mlilogwa na nani?"
 
Tuombe radhi wanaume wa dar

Nisamehe mkuu, Sintah ndo kanipotosha maana alipotaja vikuku kuku, sijui pweza hawasaidii, mara kamaliza na wanaume wengi wa hapo mjini basi mi nikajua watakua wa Dar hao maana kumbe hata Tanga bweza wanapatikana.... Teh.. teh...
 

Mkuu hata wao wanaathirika sana tu esp kwenye swala la kushika mimba..
 
Haya malalamiko wakati mwingine sikubaliani nayo. Ni waaichana wachache sana wanaoweza kudumu mechi ya dakika 20 non-stop. Sasa hii ya kulalamika kimoja hakitoshi inatoka wapi. Labda hicho kimoja kama ni cha dakika moja tu. Tuseme ukweli hata ninyi wanawake uwezo qa kuhimili mikiki mboma mnashindwa mpaka mnaaza kulalamika mmechoka! Mi hapo ndo sielewi. Mnataka vingi lakini ubavu nanyi hamna wa kuvipokea ila kulalamika kwingi tu.
 
Huwezi muita mwana mwenye uume "mwanaume" kama kitandani hawezi mambo... Huyo ni mvulana.. au sharobaro... Ila ina other words.. kifua na misuli sio utaalamu wa mapenzi ni utaalamu wa gym... Hahhahaaaaa
 
Ukiona ona hivo hisia kwako zimepungua kwani wakati mnaanza alikua hivo kunako six ni ful ubunifu sa kama unakua mvivu wa kubuni utundu utaishia kupanda majukwaani, afu ukumbuke mapenzi hutawaliwa na hisia kwa asilimia kubwa kama umeshindwa kulinda hisia alizokuanazo mwanzo kwako ni lazima ulalamike tu.
 
Hata wanawake siku hizi nguvu za kike zimepungua sana.
 

embu njoo pm sio unalialia tuuu..uje usimulie vizurii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…