Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Yes tupo sahihi,tena sana!!Nilikutana na huyu kaka mwaka 2007 kwenye harusi ya dada wa rafiki yangu.Huyu rafiki yangu ni kipenzi sana na amekuwa kama ndugu yangu,.
Hiyo harusi nakumbuka ukumbi ulikuwa ni pale msasani. Tulipotoka huyu mkaka nampa jina la Y akasema twende tukapate vinywaji sehemu nyingine na kweli tukatoka mimi,huyo rafiki yangu na yeye.,.
Aliniomba namba ya simu nikampa.
Kipindi hicho nilikuwa naishi upanga,akawa ananifatilia sana lakini sikumpenda kwa kweli kwa hiyo sikumkubali.
Alinifatilia mpaka mwaka jana na nilikutana nae mara kadhaa,tunapiga story na kupata drinks then ananirudisha home.
Sasa mwaka huu mwezi wa kwanza kuna rafiki yangu alikuwa anaolewa ikabidi nije dar kwenye harusi.Laa haula bwana harusi ni mr.Y!
Nilishukuru Mungu kuwa sikulala nae na wakati wa kwenda kutoa pongezi,nilipompa mkono akanitekenya nilishtuka kwa kweli nikamchek my friend akawa yuko tu busy kuwahug wageni waalikwa.Wakati wa dancing akanifata kudance na mimi akaniambia bado ananipenda halafu akanikonyeza!nilimshangaa sana.Na mpaka sasa najiuliza maswali mengi hivi wanaume wana matatizo gani?
Kwenye siku ya ndoa yako unamwambia mtu mwingine unampenda je ni sahihi?
Nilikutana na huyu kaka mwaka 2007 kwenye harusi ya dada wa rafiki yangu.Huyu rafiki yangu ni kipenzi sana na amekuwa kama ndugu yangu,.
Hiyo harusi nakumbuka ukumbi ulikuwa ni pale msasani. Tulipotoka huyu mkaka nampa jina la Y akasema twende tukapate vinywaji sehemu nyingine na kweli tukatoka mimi,huyo rafiki yangu na yeye.,.
Aliniomba namba ya simu nikampa.
Kipindi hicho nilikuwa naishi upanga,akawa ananifatilia sana lakini sikumpenda kwa kweli kwa hiyo sikumkubali.
Alinifatilia mpaka mwaka jana na nilikutana nae mara kadhaa,tunapiga story na kupata drinks then ananirudisha home.
Sasa mwaka huu mwezi wa kwanza kuna rafiki yangu alikuwa anaolewa ikabidi nije dar kwenye harusi.Laa haula bwana harusi ni mr.Y!
Nilishukuru Mungu kuwa sikulala nae na wakati wa kwenda kutoa pongezi,nilipompa mkono akanitekenya nilishtuka kwa kweli nikamchek my friend akawa yuko tu busy kuwahug wageni waalikwa.Wakati wa dancing akanifata kudance na mimi akaniambia bado ananipenda halafu akanikonyeza!nilimshangaa sana.Na mpaka sasa najiuliza maswali mengi hivi wanaume wana matatizo gani?
Kwenye siku ya ndoa yako unamwambia mtu mwingine unampenda je ni sahihi?
wee nae kama ulikuwa humpendi mbona uloendelea kuenda kunywa nae?? wewe na huyo wote hamja tulia.....
kuomba wala sio tatizo...mwanaume ana haki yakuomba utamu any time

Wanaume hatuna matatizo yoyoteNilikutana na huyu kaka mwaka 2007 kwenye harusi ya dada wa rafiki yangu.Huyu rafiki yangu ni kipenzi sana na amekuwa kama ndugu yangu,.
Hiyo harusi nakumbuka ukumbi ulikuwa ni pale msasani. Tulipotoka huyu mkaka nampa jina la Y akasema twende tukapate vinywaji sehemu nyingine na kweli tukatoka mimi,huyo rafiki yangu na yeye.,.
Aliniomba namba ya simu nikampa.
Kipindi hicho nilikuwa naishi upanga,akawa ananifatilia sana lakini sikumpenda kwa kweli kwa hiyo sikumkubali.
Alinifatilia mpaka mwaka jana na nilikutana nae mara kadhaa,tunapiga story na kupata drinks then ananirudisha home.
Sasa mwaka huu mwezi wa kwanza kuna rafiki yangu alikuwa anaolewa ikabidi nije dar kwenye harusi.Laa haula bwana harusi ni mr.Y!
Nilishukuru Mungu kuwa sikulala nae na wakati wa kwenda kutoa pongezi,nilipompa mkono akanitekenya nilishtuka kwa kweli nikamchek my friend akawa yuko tu busy kuwahug wageni waalikwa.Wakati wa dancing akanifata kudance na mimi akaniambia bado ananipenda halafu akanikonyeza!nilimshangaa sana.Na mpaka sasa najiuliza maswali mengi hivi wanaume wana matatizo gani?
Kwenye siku ya ndoa yako unamwambia mtu mwingine unampenda je ni sahihi?
Vipi hatuna matatizo, na tunatongoza wanawake wengine na wake zetu wako pale pale, tena siku ya harusi...afu unasema hatuna matatizo!!Wanaume hatuna matatizo yoyote
Kabisa kabisa.tamaa...
Na kukosa heshima kwa mkewe....
niliönana nae kwa drinks mara kadhaa kama mara 3 au 4 baada ya siku ile.,kupata a drink na mtu ina maanisha hujatulia?ahsante kwa kunifahamisha.
Yes tupo sahihi,tena sana!!
Cha msingi kama kweli anakupenda,na wewe upo free,na kama bahati nzuri ww ni islamic,then mwambie apeleke posa ili akumiliki kihalali,kama hataki then achana nae bcoz lengo lake ni kukuchezea na kukutosa,mbona waowaji wapo wengi tuu dadaaa?