Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,659
- 19,376
Huo ndio uanaume yna4 na tunapenda sana kuyafanya hayo kwa ufahari na kujidai kabisa, tena ukipata mwanamke asietaka kugharamiwa unakua unajiuliza marambilimbili kua kuna shida gani!? Na ni very exceptional casesNdio majukumu yake
Haya ni maisha yaliyopitwa na wakati.Jamani nimekaa hapa nimewaza wanaume shughuli mnayo. Unakuta mwanaume anamhitaji mwanamke fulani anafanya yafuatayo:-
1. Anamlipia Tax au Uber mpaka sehemu alipo.
2. Anamnunulia chakula na vinywaji.
3. Analipa chumba.
4. Wanapeana mdinyo.
5. Asubuhi mwanamke anakunywa soup na anatakiwa apewe hela na gharama ya usafiri kumrudisha alipotoka.
Wanaume mna kazi jamani khaaa bora mimi mwanamke.
Leo nimewaonea huruma wanaume maana kama vile yamenikuta.
AiseeeNi jinsi sio Jinsia.
Jinsi yangu ni both Ke na Me.
DuuuhSikuelewa maana mimi ni Mpagani sina Dini.
Boya yupi huyo aliyekupa Huduma zote hizo ?Jamani nimekaa hapa nimewaza wanaume shughuli mnayo. Unakuta mwanaume anamhitaji mwanamke fulani anafanya yafuatayo:-
1. Anamlipia Tax au Uber mpaka sehemu alipo.
2. Anamnunulia chakula na vinywaji.
3. Analipa chumba.
4. Wanapeana mdinyo.
5. Asubuhi mwanamke anakunywa soup na anatakiwa apewe hela na gharama ya usafiri kumrudisha alipotoka.
Wanaume mna kazi jamani khaaa bora mimi mwanamke.
Leo nimewaonea huruma wanaume maana kama vile yamenikuta.
Mwanamke anayeuza uchi wake ni chombo cha starehe wala sio mambo ya kizamaniHaya ni maisha yaliyopitwa na wakati.
Bila shaka unaiongelea primitive society ambapo mwanamke anaangaliwa kama chombo cha starehe.
Samak yake chamboJamani nimekaa hapa nimewaza wanaume shughuli mnayo. Unakuta mwanaume anamhitaji mwanamke fulani anafanya yafuatayo:-