Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,972 Jul 3, 2012 #61 felinda said: eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths? Click to expand... Lakini mambo mengine mnayasababisha wenyewe. Kwa mtindo huu siye tufanyeje? Wakati mnajua kabisa na sisi tukishapiga haya makitu alkoholi inashuka chini???
felinda said: eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths? Click to expand... Lakini mambo mengine mnayasababisha wenyewe. Kwa mtindo huu siye tufanyeje? Wakati mnajua kabisa na sisi tukishapiga haya makitu alkoholi inashuka chini???
georgei Senior Member Joined Oct 14, 2009 Posts 110 Reaction score 8 Jul 3, 2012 #62 Sasa si unakua unaangalia kama ume achieve your goals???
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 613 Jul 4, 2012 #63 Jicho ya kenge mumaji kama unabisha sogelea moto uwake
felinda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 351 Reaction score 139 Jul 4, 2012 Thread starter #64 Biohazard said: Naomba nikuulize kitu kimoja felinda Click to expand... niulize...
Biohazard JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 2,197 Reaction score 1,471 Jul 5, 2012 #65 Hahaha naona unatafuta balaaa na allen. Wellsaid Asprin kwamtindo huu wa vimini unaweza kwendakukodi mabehewa ya treni pale TAZARA mkuu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hahaha naona unatafuta balaaa na allen. Wellsaid Asprin kwamtindo huu wa vimini unaweza kwendakukodi mabehewa ya treni pale TAZARA mkuu.
H HardMartin JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 308 Reaction score 113 Jul 5, 2012 #66 Asprin said: Lakini mambo mengine mnayasababisha wenyewe. Kwa mtindo huu siye tufanyeje? Wakati mnajua kabisa na sisi tukishapiga haya makitu alkoholi inashuka chini??? Click to expand... ni kwel wao ndio wanakuwa chanzo,xo sidhan kama 2natakiwa kulaumiwa
Asprin said: Lakini mambo mengine mnayasababisha wenyewe. Kwa mtindo huu siye tufanyeje? Wakati mnajua kabisa na sisi tukishapiga haya makitu alkoholi inashuka chini??? Click to expand... ni kwel wao ndio wanakuwa chanzo,xo sidhan kama 2natakiwa kulaumiwa
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Jul 7, 2012 #67 Mabint wao hujisifia pia kwa b kutembea na wanaume wengi. Kwani hujui?
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 639 Jul 7, 2012 #68 King Kong III said: Na nyie mnasema kwa dushelele mlizokalia kama ukiziunganisha unaweza pata urefu wa minazi mitatu. Click to expand... He he he he u made my day
King Kong III said: Na nyie mnasema kwa dushelele mlizokalia kama ukiziunganisha unaweza pata urefu wa minazi mitatu. Click to expand... He he he he u made my day