Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Lakini mambo mengine mnayasababisha wenyewe. Kwa mtindo huu siye tufanyeje?eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?
Wakati mnajua kabisa na sisi tukishapiga haya makitu alkoholi inashuka chini???