Kuna siku nawahi, kuna siku nachelewa, kuna wakati nasafiri kabisa hata wiki atachagua mwenyewe anapenda ipi. Ila bado sijasikia malalamiko labda kwa vile bado sijarasimisha
Bahati mbaya umri wakuolewa bado bat naona majirani wanavyo wa nyanyasa wake zao sijaamua kuingia huko maana naona wengi wanalia nawanatamani kutoka sinachapombe na mm niswala 5