wanaume mkoje, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaume mkoje,

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vaislay, Jul 4, 2011.

 1. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  wewe rafiki wa mume wangu,lakini cha ajabu unampenda mke wa rafiki yako wakati wewe unamke.ukituona tumeongozana unakasirika,huoni aibu?jamani,dunia inaenda wapi?
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Those are things men do!
   
 3. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Love doesnt ask why!!.... Moyo wa nyama.....wivu lazima, no matter what!!!
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  :smow::smow:
   
 5. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Iko shida!
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,697
  Likes Received: 8,235
  Trophy Points: 280
  NO WAY!
  Hao ni wanaume wenye mapepo!
   
 7. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  tuko poa bebito, sijui wewe ulio mbali na upeo wa macho yangu!
   
 8. N

  Ngo JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Vaislay; wewe rafiki wa mume wangu,lakini cha ajabu unampenda mke wa rafiki yako wakati wewe unamke.ukituona tumeongozana unakasirika,huoni aibu?jamani,dunia inaenda wapi?


  Huyo shemeji yako ndo amekwambia anakasilika akikuona na mumeo? Alishakwambia anakupenda labda?
  Heading ya Thread yako nadhani ungeiweka ''Baadhi ya wanaume wakoje?'' Maana unaposema wanaume mkoje, una uhakika wote tunakasilika pindi tuonapo rafiki zetu wanaongozana na wake zao kitu ambacho si kweli.
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  sio wote...wachache wenye hiyo laana.
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kama vp mwambie au mtamkie wazi humtaki
  akiendelea hivyo mwishowe utalegea na utawakosa wote
   
 11. data

  data JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,747
  Likes Received: 6,518
  Trophy Points: 280
  kwahiyo wewe vaislay umeolewa... na rafiki wa mumeo anampenda mke wa rafiki yake na yeye ana mke... na ikitokea wewe na mmeo mmeongozana anakasirika.... !!!???? Im confyuuuzzzzdddd.. sijaelewa!!!
   
 12. B H

  B H Senior Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mpe utamu aonje.
   
 13. charger

  charger JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,325
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hawaanzagi tu ameruhusiwa kufanya anayoyafanya
   
Loading...