Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,765
Habari wanajamvi?
Ukifuatilia kwa makini fumanizi nyingi zinazotokea mjini, utakuta aliefumaniwa ni mke wa jamaa bonge bonge na ana kitambi cha utapiamlo. Sasa ukiwa bonge kuna shida gani haswa mpaka mke anaenda kugongwa kwingine?
Mimi mwili unaongezeka nimeamua kufanya mazoezi ya kufa mtu maana hii hali inatishia amani. Na nyie wadada hebu tuambieni kwanini mnatutenda sisi vibonge?