Wanaume kwanini hampo romantic?

"Nakupenda" ina-sound vizuri zaidi na ina uzito kuliko "I love you". At least kwangu mimi.

Kuna siku nilijikaza kumfungulia mrembo fulani mlango wa gari, to my surprise alisema nisifanye hivyo tena. Kumbe naye hakubaliani na hilo, niliishia kucheka tu. Kuna uzungu fulani naona watu wanatumia sana nguvu kuufanya
 
Ugumu wa maisha unachangia sisi wanaume kutokuwa romantic kama nyie mnavyotaka. Watu tuna amka na stress na kulala na stress ..saa ngap tutakuwa romantic?

Pia na nyie wanawake mnachangia sana tu ..cha muhimu kila mmoja kusimamia nafasi yake, hasa mwanamke ..unapokuwa na positive mind juu ya mumeo/boy frend/mchumba hii itamjenga zaid kwa namna moja au nyingine kuwa romantic.

Pia hizi masuala za kuwa romantic zimekuja kwa meli na ndege tunajaribu kukopy maisha ya kizungu zaid ..sio part of our society kivilee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa Kibongo hawa wawa au kuna wengine unaowasemea???? Kwa mwanamke wa bongo kuwa romantic ni kuchana POCHI tu hayo mengine mbwembwe tu. POCHI MBELE ROMANCE MBWEMBWE TU
 
Hapa Kazi Tu.
Anyways hizi tamthilia za kifilipino ndio zimeleta haya yote.

Najaribu kuwaza tu kidogo hapa kwa sauti je kwa mfano babu zetu waliweza vipi kudumu kwenye ndoa zao kwa muda mrefu bila hizi demands za kuwa romantic?

Anywayz wanaume majukumu ni mengi sana so mtusamehe kidogo
 
ni baadhi sio wote aisee..
kumwambia nakupenda ni ngumu?haiko kimahaba?
 
uwiiii
umepatikana..pole
 
aggyjay sasa KAMA HAYUPO ROMANTIC, SI WEWE UWE ROMANTIC ILI NA YEYE AKOPI NA KUPESTI? AU LAZIMA AANZE KUWA YEYE ROMANTIC? MWANAMKE ANA NAFAS KUBWA YA KUMBADILISHA MUMEWE KITABIA NA MWENENDO KWA UJUMLA, TUMIA NAFAS YAKO
kweli..sio lazma aanze yeye..naweza anza mimi yeye akafuatisha..but inategemea utayari wake..nnaweza kuwa kimahaba but yy akabaki vilevile.
nia yake tu ya kubadilika..
 
iko kivitendo zaidi..ntthibitisheje sasa hapa?
Jus explain kidg kuwa huwa unafanya nini vya kiromantic kwa Mwanaume wako...lets say unampokeaje anapokuja kwako au mnapokutana mahala na je kitandani unakuwa romantic kwa namna ipi?

Achana na sex perfomance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…