sio fair bwana taratibu jamani
kwani shida ipo wapi? kwani kurefresh kwako ni nini mkuu?Dah! Mandeleo ni kitu cha ajabu sana...!
Yaani Mwanamke anatoka nyumbani kwake anaenda baa peke yake kwa ajili ya ku-refresh?
Ku-refresh maana yake nini wakati upo mpweke?
saa zingine kichwa kimejam mtu unaitaji space bwana. mtuache kidogoSasa dada smile kwani ukitongozwa kuna ubaya gani?Mbona hata sisi wanaume tukienda hivyo viwanja peke yetu tunawakomaje mabarmaid na wale waliopo mawindoni. Mimi naona kama unaona anakuzingua mpe makavu tu lakini hilo kulikwepa ni ngumu sana.
Usitembee na wembe tu, andaa na beba ile kadi kama zile zinazoning'inizwa kwenye milango ya vyumba vya hoteli - DONT DISTURB ili watu wakiona tu wajue LOLinatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.
Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
mbona watu kibao wamevaa mipete na hawana ndoa wala nini? wengine ni single tu wameachika nk.
so mwanamke ukitoka ni kama swala umejipeleka kwa mbwa mwitu?
sijui nitoke vipi leo .nataka kuwa mwenyeweeeee! ila hupumuiNdio nasema kuwa si kila aitaye bwana bwana ataurithi uzima wa milele..
Wengine they are just good friends..ukiona anakubore you just tell him kwamba kuna njemba unamsubiri..lazima aufyate...Kumbuka always the fruit does not fall far from the tree..na mti wenye matunda ndo upigwao mawe...
habari za miaka mingi Baba_Enock, Dena Amsi hajambo? namwona kwenye malalamiko tu, sijui status ipoje, lol!Dah! Mandeleo ni kitu cha ajabu sana...!
Yaani Mwanamke anatoka nyumbani kwake anaenda baa peke yake kwa ajili ya ku-refresh?
Ku-refresh maana yake nini wakati upo mpweke?
kwani shida ipo wapi? kwani kurefresh kwako ni nini mkuu?
kusex au vp? unadhani refreshment ya mwanamke ni mwanaume au ni nini sijakusoma
1. Bili inalipwa yote... sina tamaa nakunywa maji makubwa 3000Look it in a different perspective!
1. Bili inalipwa yote.
2.Unapata new company ya kuoshea kinywa mda huo.
3.You never know huyo uliekutana nae ni nani mjini humu!!!!!
4.With new people sky is the limit!
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
habari za miaka mingi Baba_Enock, Dena Amsi hajambo? namwona kwenye malalamiko tu, sijui status ipoje, lol!
wewe unashangaa hii? bar ndo kuna upepo mwingi bwana, acha tuka-refresh
sinywi hata pombe mkuu napenda tu mziki"Ku-refresh" ni "kutafuta fikra mpya" kuhusu mazingira yanayokuzunguka - Sidhani kama kwenda "baa" kupata kileo ni "ku-refresh"...! Kwenda kucheza muziki ni "kutafuta uchovu" na siyo "ku-refresh"...!
ha ha haaaaa copy SmileNzuri @FP...! Dena Amsi nilikuwa naye jana maeneo ya Mbalamwezi - Mikocheni, na leo weekend tunaazia "Baa Mpya - Boko Magengeni" - Njia panda ya Mbweni - Karibu sana.
Malalamiko ni njia mojawapo ya "ku-refresh"...!